de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,108
- 20,070
- Thread starter
- #21
Hahaha ila pia kumbuka molarity aspect ya maamuzi unayo Fanya. Hauwezi kuruka na mtoto wa mtu aliye chuoni na ukaharibu ndoto zaakeKwenye hili swala hakuna mchungaji, Katekista, shekhe wala mtoa huduma na nasaha atakayenipangia
Mizuka ikipanda naruka na yeyote wa level yangu yeyote, siku nikipata wa kuoa (kama wapo lakini) ndo ntatuliza dudu
Karne ya 21 propaganda za dini na siasa zinafanya kazi kwa wachache
Kwa maFree thinker hazina kazi tunazichungulia kwa mbaali zinavyowawehusha brainwashed mpaka huruma