hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,254
- 79,954
Sio kweli kipindi hiki cha baridi naona hata mbwa wako wawili wawiliMmbwa wenyewe wanasex saa wanatafuta watoto, binadamu unashindwa na mbwa?
Hakika na jamii bado haina utambuzi kuona kwa mapana namna jambo hili ndo sababu ya matatizo mengi yatokanayo na ngono,Ngono ni kama kufanya matendo mengine ya mwili kama kula,kunya,kunywa etc
lakini tendo limepewa uzito wa ajabu 😏😏
Ngono imepewa hadhi ya kuogofya hata kulitamka tu ukakasi sana ili hali watu wanalipenda sana 😂Hakika na jamii bado haina utambuzi kuona kwa mapana namna jambo hili ndo sababu ya matatizo mengi yatokanayo na ngono,
Tunajaribu kuifanya ngono kuwa ndo chanzo cha matatizo wakati, ni watu husika kukosa elimu, kuwa maskini, kukosa uhuru na kufanya ngono kama sehemu ya kutafta pesa.
Si mbaya kwamba huoni madhira yake mitaani au umelewa mkuu
Watoto wa mtaani
Wanafunzi kukatishwa ndoa zao
Uti sugu,gono,HIV,fake relationships na kumbe HI
Just imagine hata na wewe vile jitu linabilingika just to cumNakazia it's like ushetani
Watu wazima wawili mpo uchi mna Hangaika kama wehu
Sawa na nyie mkihisi baridi rukhsa kugembea wawiliSio kweli kipindi hiki cha baridi naona hata mbwa wako wawili wawili
Acha kunichosha kijana we ngono zembe inaonyesha ulianza hata kabla ya kubalehe.Wanajuaje kuwa sasa tuna sex kwa ajili ya kutafta watoto?
Kuna uthibitisho gani kuhalalisha unacho kisema?
Ngono ni kujamiana tu , kuna ngono zembe na ngono salamaNgono inatajwa kama uzinzi, uasherati, ngono zembe(no ABC)
inaonekana hujasoma Life skills. Any way atapatikana wa kukusaidia mkuu upo mbali sana