Ni muda sasa umepita toka niachane na mpenzi wangu

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,955
6,885
Habari wana Jamvi, leo narudi kwenu tena ikiwa ni baada ya miezi 10 kupita toka niachane na binti alieugaragaza moyo wangu hadi kufikia kuishi nae pamoja.

Sababu iliyofanya tuachane ilikuwa ni yeye kukosa uaminifu kwangu na kuamua kuchepuka/kuni-cheat, naamini asilimia 90 ya mahusiano ya sasa ku-cheat-ana ni jambo la kawaida sana hivyo kufanya lionekane ni jambo jepesi lisilofanya wawili kutengana au kuachana (maana umanaemcheat ana cheat pia) ila kwa mimi ilikuwa ni ngumu kusamehe au kulipotezea suala hilo kwa kuwa mimi binafsi nilizingatia kuwa nakua muaminifu kwake hivyo maumivu yalikuja kwamba ni kwanini me nijinyime kwaajili yake then yeye ashindwe, So ikapelekea kufika muafaka baina yetu.

Though ni miezi 10 sasa imepita na nakiri kwamba toka niachane na yule binti sijawahi kuwa na mahusiano mengine wala kushiriki tendo kwani, Nimekuwa muoga sana wa mapenzi, Najua wengi mtashangaa kwamba mwanaume nawezaje kuwa muoga wa mapenzi ila ni kwamba tu mimi ni mtu muoga sana hasa kwenye suala la kufanya uzinzi hovyohovyo na zipo sababu tatu zinavyonifanya nichelewe kuingia kwenye mahusiano mengine

1: Kuvunjika moyo kwa mara nyingine.
2: Kuogopa kushiriki tendo kabla ya ndoa, After lile tukio now nimekuwa na hofu sana na Mungu hasa katika kuepuka kuvunja amri ya 6 (na sipo tayari kwa ndoa)
3: Sijaona na sijui nampataje mwingine atakaeweza ku-cover pengo.

Hapa ninapoishi ni palepale ambapo nilikuwa nikiishi na Ex-wangu so, kuachana kwetu Majirani zangu wote wana background story yote kuhusu mimi kwamba nimeshawahi kuishi na mwanamke na nikaachana nae full stop na wanajiuliza mbona "haletwi wa kuziba pengo na muda unaenda tu" hiyo ni kutokana na uzoefu wa kuwasoma watu nikagundua hilo, ni jambo ambalo sifurahishwi nalo ila sio common reason ya kufanya nihame mazingira haya kwani ni mahali ambapo panarahisisha mi kufanya harakati zangu kwa wepesi zaidi na ninapapenda kiukweli.

Ex wangu yeye baada ya break-up alienda kuendelea na mahusiano yake yaliyosababisha mimi kuachana nae, Kwani mzungu wake ambae ndo cause of everything aliweza kumtimizia haja zake za kimahitaji muhimu ila kwa sasa sina taarifa zao.

Maisha ya U-single ni mazuri kiupande fulani ila pia yana changamoto zake, Raha inakuwepo pale unapokuwa na uwezo mzuri wa kuproduce income so, unakuwa unajinunulia na kujicare kwa chochote utakacho bila usumbufu wa aina yoyote, Ukihitaji utulivu unaupata, Ukiweka kitu chako hapa hata siku ngapi zipite utakikuta palepale tofauti na mkishakuwa wawili unaweza ukaweka kitu hapa dk 2 hakipo ukimuuliza mwenzako nae anajibu hajui na ilhali mnaishi wawili tu ndani, Nalikuwa mtu wa bad mood na mahasira kwa wakati niwapo nyumbani ila baada break-up now bad moods zimepungua.

Sasa issue ipo hapo kwenye haja za kimwili zinanisumbua kichizi yani, Inafika time Machine inasimama mpaka nahisi mishipa inataka kupasuka full maumivu dk 5 haipiti bila kuwaza ngono so, najaribugi sana kuuchosha mwili wangu na mzoezi na kuumiza ili japo kupoteza hizo hisia na ndo inanisaidia kidogo, Na sio kwamba madem hakuna nop! wapo tena kuna mmoja ni best wa ex wangu huyo na pisi ya kwenda inanisumbuaga sana niikande (na inajua kabisa background yangu kwamba mimi niliwahi kuwa na best ake na tukaachana anataka ku-replace ila wanawake) me naishiaga kuipiga michenga tu na issue ipo hapo kwenye roho yangu imekuwa na uoga sana nikihisi kama nitakosea sana kama nikimsukuma damu mtoto wa mtu bila kuwa na malengo nae na sijaona bado wa kuwa na malengo nae na ubaya pia nimeshajiona kama mimi bdo sana kufikia umri kuoa.

Mimi ni muoga sana kufanya mapenzi kabla ya ndoa so huwa naona ni bora kama sina ndoa basi nipate hata japo wa kumuweka ndani tu maisha yaende ila sasa kimbembe ndo kipo tena kwenye nani wa kumuamini kama yule maana me ni wale wanaume ambao wakipenda wamependa, Na uzinzi siuwezi sijawahi kununua mbususu toka nizaliwe. Issue nyingine ni kwenye suala la vyakula maana nilizoea kupikiwa chakula kizuri ila kwa sasa naishia kula kwenye migahawa na hii ni kwa sababu ya kutokupendelea kupika kabisa.

I'm 22.

Nishaurini nini cha kufanya wakuu, I know huku kuna Baba zangu, Mama zangu, Kakaz,Dada, na hata wadogo zangu hivyo kiufahamu tunatofautiana kuna wengine ni madaktari wanaweza kunisaidia pia maybe ni sychological problems au ambao walishawahi kuexprience hii hali ili niweze kuwa kama Wengine... Mbona wengine wanawasukuma damu mabinti za wa watu na wanawatimua bila kujali au mbona wengine wananunua papuchi bila kujali?

Mungu awabariki.
 
Kichwa cha chini bhna, simple way tafuta chimbo La malaya ukiwa na hamu nunua mmoja chapa tembea, afu fanya kazi kwa bidii mengine yatajiongeza mbele kwa mbele

N.b ukimwi upo vaa ndom
Kupanga ni kuchagua
 
Kijana achana na uzinzi...hamna jema litokenalo na uzinzi.

Nisikilize mie mzinzi mkuu wa hapa jf narudia tena. Hakuna jema litokanalo na uzinzi. Utaishia kupata majuto ya maksha na kujiweka mbali na muumba wako.

Pili itakuwafanya usiwathamini wananwake na kiwaona kama chombo cha starehe tuu. Kaa mbali na uzinzi.

Mie naishia kujuta tuu...nisinge mgegeda yule binto leo nisingekuwa nakula madawa kama chakula. Ila ndio hivyo majuto mjukuu
 
Kkjana achana na uzinzi...hamna jema litokenalo na uzinzi.

Nisikilize mie mzinzi mkuu wa hapa jf narudia tena. Hakuna jema litokanalo na uzinzi. Utaishia kupata majuto ya maksha na kujiweka mbali na muumba wako. Pili itakuwafanya usiwathamini wananwake na kiwaona kama chombo cha starehe tuu. Kaa mbali na uzinzi.

Dogo anataka ashindane na alipotokea

Mwambie viwanja tumemwaga mawe tu aliyejitahidi sana kaishia kwenye lenta
 
Duh! Sasa kipindi ukiwa nae ulikua hauvunji amri ya sita? Sasa hv ndo unaiogopa?

Af pia, tukitubu tunatubu dhambi tulizofanya "kwa kuwaza, kutenda na kunena". Sasa kama kila mara unawaza mapenzi si tayari umefanya dhambi ya kuwaza au?

Wacha uoga wa mapenzi kijana. Tena miaka 22? Yaan hapo ndo kwaaaanza asubuhi. Utavunjwa moyo sana.

Bora huyu kachepuka na mzungu, iko siku utakuta mwingine kachepuka na mtu wa ajabu kbsa na hutakua na cha kumfanya.

Bora uhangaike na mapenz sasa hv hata kama yakikuumiza ili upate experience. Ukifika umri wa juu huku 30's akili inakua haiwez kusumbuliwa tena na mapenz, ni utafutaji tu.

Piga mbususu! Unadhani hata mke unaetarajia utamchana kwenye gazeti? Humu humu kwenye mapenzi ma maumivu.

Usiogope, yakikukuta ya dunia unaleta kisanga JF tunakuvunja moyo na kukujenga pia, ukimaliza unarudi kwenye mapambano.
 
1 WAKORINTHO 6​

15Je, hamjui kwamba miili yenu ni viungo vya mwili wa Kristo? Je, mnadhani naweza kuchukua sehemu ya mwili wa Kristo na kuifanya kuwa sehemu ya mwili wa kahaba? Hata kidogo! 16Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye – kama ilivyoandikwa: “Nao wawili watakuwa mwili mmoja.” 17Lakini aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye. 18Jiepusheni kabisa na uzinzi. Dhambi nyingine zote hutendwa nje ya mwili lakini mzinzi hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe. 19Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe. 20Mlinunuliwa kwa bei kubwa. Kwa hiyo, itumieni miili yenu kwa ajili ya kumtukuza Mungu.

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Dogo soma hiyo mistari na ukazane na msimamo wako huohuo
Habari wana Jamvi, leo narudi kwenu tena ikiwa ni baada ya miezi 10 kupita toka niachane na binti alieugaragaza moyo wangu hadi kufikia kuishi nae pamoja.

Sababu iliyofanya tuachane ilikuwa ni yeye kukosa uaminifu kwangu na kuamua kuchepuka/kuni-cheat, naamini asilimia 90 ya mahusiano ya sasa ku-cheat-ana ni jambo la kawaida sana hivyo kufanya lionekane ni jambo jepesi lisilofanya wawili kutengana au kuachana (maana umanaemcheat ana cheat pia) ila kwa mimi ilikuwa ni ngumu kusamehe au kulipotezea suala hilo kwa kuwa mimi binafsi nilizingatia kuwa nakua muaminifu kwake hivyo maumivu yalikuja kwamba ni kwanini me nijinyime kwaajili yake then yeye ashindwe, So ikapelekea kufika muafaka baina yetu.

Though ni miezi 10 sasa imepita na nakiri kwamba toka niachane na yule binti sijawahi kuwa na mahusiano mengine wala kushiriki tendo kwani, Nimekuwa muoga sana wa mapenzi, Najua wengi mtashangaa kwamba mwanaume nawezaje kuwa muoga wa mapenzi ila ni kwamba tu mimi ni mtu muoga sana hasa kwenye suala la kufanya uzinzi hovyohovyo na zipo sababu tatu zinavyonifanya nichelewe kuingia kwenye mahusiano mengine

1: Kuvunjika moyo kwa mara nyingine.
2: Kuogopa kushiriki tendo kabla ya ndoa, After lile tukio now nimekuwa na hofu sana na Mungu hasa katika kuepuka kuvunja amri ya 6 (na sipo tayari kwa ndoa)
3: Sijaona na sijui nampataje mwingine atakaeweza ku-cover pengo.

Hapa ninapoishi ni palepale ambapo nilikuwa nikiishi na Ex-wangu so, kuachana kwetu Majirani zangu wote wana background story yote kuhusu mimi kwamba nimeshawahi kuishi na mwanamke na nikaachana nae full stop na wanajiuliza mbona "haletwi wa kuziba pengo na muda unaenda tu" hiyo ni kutokana na uzoefu wa kuwasoma watu nikagundua hilo, ni jambo ambalo sifurahishwi nalo ila sio common reason ya kufanya nihame mazingira haya kwani ni mahali ambapo panarahisisha mi kufanya harakati zangu kwa wepesi zaidi na ninapapenda kiukweli.

Ex wangu yeye baada ya break-up alienda kuendelea na mahusiano yake yaliyosababisha mimi kuachana nae, Kwani mzungu wake ambae ndo cause of everything aliweza kumtimizia haja zake za kimahitaji muhimu ila kwa sasa sina taarifa zao.

Maisha ya U-single ni mazuri kiupande fulani ila pia yana changamoto zake, Raha inakuwepo pale unapokuwa na uwezo mzuri wa kuproduce income so, unakuwa unajinunulia na kujicare kwa chochote utakacho bila usumbufu wa aina yoyote, Ukihitaji utulivu unaupata, Ukiweka kitu chako hapa hata siku ngapi zipite utakikuta palepale tofauti na mkishakuwa wawili unaweza ukaweka kitu hapa dk 2 hakipo ukimuuliza mwenzako nae anajibu hajui na ilhali mnaishi wawili tu ndani, Nalikuwa mtu wa bad mood na mahasira kwa wakati niwapo nyumbani ila baada break-up now bad moods zimepungua.

Sasa issue ipo hapo kwenye haja za kimwili zinanisumbua kichizi yani, Inafika time Machine inasimama mpaka nahisi mishipa inataka kupasuka full maumivu dk 5 haipiti bila kuwaza ngono so, najaribugi sana kuuchosha mwili wangu na mzoezi na kuumiza ili japo kupoteza hizo hisia na ndo inanisaidia kidogo, Na sio kwamba madem hakuna nop! wapo tena kuna mmoja ni best wa ex wangu huyo na pisi ya kwenda inanisumbuaga sana niikande (na inajua kabisa background yangu kwamba mimi niliwahi kuwa na best ake na tukaachana anataka ku-replace ila wanawake) me naishiaga kuipiga michenga tu na issue ipo hapo kwenye roho yangu imekuwa na uoga sana nikihisi kama nitakosea sana kama nikimsukuma damu mtoto wa mtu bila kuwa na malengo nae na sijaona bado wa kuwa na malengo nae na ubaya pia nimeshajiona kama mimi bdo sana kufikia umri kuoa.

Mimi ni muoga sana kufanya mapenzi kabla ya ndoa so huwa naona ni bora kama sina ndoa basi nipate hata japo wa kumuweka ndani tu maisha yaende ila sasa kimbembe ndo kipo tena kwenye nani wa kumuamini kama yule maana me ni wale wanaume ambao wakipenda wamependa, Na uzinzi siuwezi sijawahi kununua mbususu toka nizaliwe. Issue nyingine ni kwenye suala la vyakula maana nilizoea kupikiwa chakula kizuri ila kwa sasa naishia kula kwenye migahawa na hii ni kwa sababu ya kutokupendelea kupika kabisa.

I'm 22.

Nishaurini nini cha kufanya wakuu, I know huku kuna Baba zangu, Mama zangu, Kakaz,Dada, na hata wadogo zangu hivyo kiufahamu tunatofautiana kuna wengine ni madaktari wanaweza kunisaidia pia maybe ni sychological problems au ambao walishawahi kuexprience hii hali ili niweze kuwa kama Wengine... Mbona wengine wanawasukuma damu mabinti za wa watu na wanawatimua bila kujali au mbona wengine wananunua papuchi bila kujali?

Mungu awabariki.
 
Boss hawa wanawake waone hivihivi aisee. Una moyo mzuri Ila I doubt utapata anaejali Kama wewe. Ni Kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

Ushauri
1. Mtumikie muumba wako, tafuta hela mambo ya wanawake achana nayo, watakuja wenyewe tu, ( Na watakao kuja usimwamini hata mmoja) " maana siku utakayomwamini mwanamke ndio siku utakayokuwa umefungua mlango wa kaburi lako" usije haribu Maisha yako kisa eti kupikiwa chakula kizuri, refer katika bustani ya Eden.

Pia usiwe na hofu hauna shida yoyote ya kisaikolojia.
 
Habari wana Jamvi, leo narudi kwenu tena ikiwa ni baada ya miezi 10 kupita toka niachane na binti alieugaragaza moyo wangu hadi kufikia kuishi nae pamoja.
Hutaki kupiga mshariboko kabla ya ndoa...vp huyo mtu ulikuwa unaishije nae chumba kimoja bila sex?ebu huu hii story yako iishie huko kweny vijiwe vyenu vya kahawa
 
Kwa umri wako ukiendekeza hao viumbe utapoteza mwelekeo mazima.

Mademu hawatafutwi, jikite kwenye kuimarisha kesho yako kwa kuboresha maisha yako kiafya na kiuchumi….. wanawake wataanza kuja wenyewe.
thank you for the advice man
 
Kichwa cha chini bhna, simple way tafuta chimbo La malaya ukiwa na hamu nunua mmoja chapa tembea, afu fanya kazi kwa bidii mengine yatajiongeza mbele kwa mbele

N.b ukimwi upo vaa ndom
Kupanga ni kuchagua
Thank you man
 
Kkjana achana na uzinzi...hamna jema litokenalo na uzinzi.

Nisikilize mie mzinzi mkuu wa hapa jf narudia tena. Hakuna jema litokanalo na uzinzi. Utaishia kupata majuto ya maksha na kujiweka mbali na muumba wako. Pili itakuwafanya usiwathamini wananwake na kiwaona kama chombo cha starehe tuu. Kaa mbali na uzinzi.

Mie naishia kujuta tuu...nisinge mgegeda yule binto leo nisingekuwa nakula madawa kama chakula. Ila ndio hivyo majuto mjukuu
Dah! so sad man, Ila ahsante kwa funzo lenye mfano halisi... nitafuata kwa kina ulichokiandikq.
 
Back
Top Bottom