NGARA ni Tanzania ama?

Mia wakora sana waitu, usengwile sana, wabeja sana mwana wani, ulakoze, sande sana mwana kwetu, nk (Kindly note sitaki maswali kwa hizo lugha, Kongoi (kikalenjini in Kenya), Nasi ama/ako (kiiraqwu) in Mbulu ha ha inawatoshea bana kha??
Alale Pema Peponi Kamanda
 
Alale Pema Peponi Kamanda
 
upeo mdogo sana wa kufikiri,ikiwepo na kutoijua historia ya maeneo husika,rejea video ya Prof kabudi akielezea haya.
 
Ngara ni Tanzania, na wahangaza sio watutsi ingawa wanafanana sana mila zao. KUMBUKA: mipaka iliwekwa na wakoloni, ubaguzi wako ndio umaskini wako.
 
Tanzania nchi ya amani sababu mojawapo tuna makabila yote ya nchi tunazowapakana nazo

Wakileta za kuleta tunawapelekea watu wao wenyewe ambao ni watanzania wakawatandike
 
Ngara ni Tanzania, na wahangaza sio watutsi ingawa wanafanana sana mila zao. KUMBUKA: mipaka iliwekwa na wakoloni, ubaguzi wako ndio umaskini wako.
🤣🤣 dagaa sio samaki ila wanafanana. Sema tu ni nyavu zilizotumika kuvua ndio zikatenganisha dagaa na samaki. I like this one!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…