NGARA ni Tanzania ama?

NGARA ni Tanzania ama?

Basi kama ingelikuwa sio dermacation za wazungu, Ngara kiuhalisia ingelikwenda Burundi. Full stop!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Na kama ingelikuwa sio demarcation za Wazungu, Burundi kiuhalisia ingekuha Tanganyika. Full stop!!!!!!!!!!!!!!!!

Naona tunahangaika sana na mambo ya karne nyingi zilizopita. Ukichunguza kwa undani, kama isingekuwa mipaka ya Wazungu, makabila haya ya Wahangaza, Waha, Watutsi, Watwa, na Wanyamulenge yalistahili kuwa nchi moja. Hii ni kwa kuwa lugha wanayozungumza, kimsingi ni moja, kinachofanya kuwe na tofauti kidogo ni mipaka ya Kiutawala. Hata tamaduni zao ni zilezile, koo zao [clans] ni zilezile; ukienda katika nchi za Burundi, Rwanda, Tanzania na sehemu za DRC Mashariki utazikuta. Mfano; utakuta clans za Abasindi, Abanyagwanda, Abakimbili nk katika nchi zote hizo.
 
Binadamu haachi asili; hata ID yako inaonyesha hivyo. From the bottom of your heart, ebu waelezee Watanzania maana ya Wimana. Naona unawatetea Watutsi wenzio.
 
Last edited by a moderator:

Abanyagwanda tuli bache, twimanye!
 
naungana na mleta mada mi nimesoma ngara sekondari ya rulenge kule hata kiswahili hawajui na ukienda madukani kumejaa bidhaa za burundi tu hata sura zao ni za kiburundiburundi na rwanda kule sio tanzania mkoloni alikosea kwani hata kihangaza kinahingiliana na kirundi na kinyarwanda kuliko kihaya ,wahangaza hawasikilizani na kabila lolote tanzania labda waha
 
Kwa hiyo Waha nao ni Warundi? Kijaluo kinaingiliana na kabila gani lingine Tanzania? Kimakonde je?
 
Binadamu haachi asili; hata ID yako inaonyesha hivyo. From the bottom of your heart, ebu waelezee Watanzania maana ya Wimana. Naona unawatetea Watutsi wenzio.

Maana ya Wimana haitakusaidia, lkn hilo jina utalikuta huko Ngara, Kigoma, Burundi, na Rwanda pia. Nakaribisha swali la nyongeza.
 
Last edited by a moderator:
Muachieni PK hiyo Ngara mnayoikataa..... Sidhani kama ataikataa manake naona Tanzania imezidi ukubwa.
 
wamakonde wametokea msumbiji,hakuna makonde mwenye asili ya taznania,jaluo ni mkenya haina mjadala rejea historia

Kulingana na udukuzi wako wasaidie hao wanaochangia wasiyoyajua humu ndani; Wahangaza na Waha wametokea wapi?
 
Waha ni warundi kabisa hata kwa kuwaangalia tu,mila zao na lugha yao vinaingiliana na za warundi kama unataka kuthibitisha hili nenda kibondo,Buhigwe,Manyovu halafu hawa jamaa wana roho mbaya,wachawi,wabishi usiokuwa na maana na wakienda mikoani wakafanikiwa hawarudi tena kwao badala yake wanaanza kupaponda
 
Ngara wachu,msalimie mama clara,mboyo,temu,kamachumu,mbiligi,mrefu,na machzi wote kina lenini waambie mwanawao npo mjini nafanya mambo,ipo cku ntarudi 2kale bata rusumo!!

Bila kumsahau mzee wa corner cafe, gashaza, dr misago, masheri au muruvyagira family, imani, cameroon na kidenke....
Machiz kama akina erick, dr rhobi, frenk, wambie tupo mjini tunafanya maisha one day yes!
 
Ninapoongelea juu ya Ngara sijakurupuka, tembea iwe ni Nyakanazi, Lusahunga, Ngara mjini yenyewe, Rulenge, Rusumo na hata Kabanga sehemu hizo za wilaya hii si sawa na maeneo mengine ya mipakani mwa nchi hii kama ilivyo Tunduma, Namanga, Sirari, Mbamba bay, Mutukula etc
Sasa nipo Ngara, najionea hali ilivyo, kumesheheni wanyarwanda kuliko warundi, vitendo vya kiharamia vimesheheni, huwezi kuendesha gari yako private baada ya saa mbili usiku hata uwepo Ngara mjini, mgeni anajulikana kwa aina ya kiswahili

Ni aghalabu kukuta watu wakiongea kiswahili, hakuna FM radio zaidi ya radio za kinyarwanda tena wakilonga kinyarwanda na ndizo zinazosikika, ipo radio KWIZERA ambayo pia baadhi ya nyakati ilidiriki kutumia kilugha badala ya kiswahili katika utangazaji wake

Ninachoamini, ni eneo ambalo limetelekezwa kiujumla ndio maana hata matukio mengi ya uharamia yamesheheni katika mapori mazito na milima mirefu inayoizunguka wilaya hii ya Ngara

Kwa yeyote, na aitembelee wilaya hiyo ajionee unaijua Ngara vizur wewe?kwa ufupi umekurupuka hata majina yenyewe huyajui vizur,kwahiyo kama haujui Ngara iko wapi utakua na utaahira kiasi fulan
 
Bila shaka akiyepost mada atakuwa mkimbizi kutoka burundi au rwanda aliyekimbia vita kwao.
 
Back
Top Bottom