NGARA ni Tanzania ama?

NGARA ni Tanzania ama?

Unafikiri kwanini tunawashtukia hao wajiitao wahangaza wa Tanzania?tunafahamu wako wahangaza wa nchi hii ila nyuma yao wako hao wanyaru na warundi a.k.a wahangaza?? uliza Kongo walipowakaribisha,wasivyokuwa na aibu hata kidogo walichokifanya utashangaa sana ndg hawa ni hatari sana, kuhusu tabia zao/zenu, ukiangalia kongo historia inajieleza vizuri???(wanyaru na warundi a.k.a wahangaza!!!!!!????)

Hakumbuki INTERAHAMWE n.k huyo.
 
Ninapoongelea juu ya Ngara sijakurupuka, tembea iwe ni Nyakanazi, Lusahunga, Ngara mjini yenyewe, Rulenge, Rusumo na hata Kabanga sehemu hizo za wilaya hii si sawa na maeneo mengine ya mipakani mwa nchi hii kama ilivyo Tunduma, Namanga, Sirari, Mbamba bay, Mutukula etc
Sasa nipo Ngara, najionea hali ilivyo, kumesheheni wanyarwanda kuliko warundi, vitendo vya kiharamia vimesheheni, huwezi kuendesha gari yako private baada ya saa mbili usiku hata uwepo Ngara mjini, mgeni anajulikana kwa aina ya kiswahili

Ni aghalabu kukuta watu wakiongea kiswahili, hakuna FM radio zaidi ya radio za kinyarwanda tena wakilonga kinyarwanda na ndizo zinazosikika, ipo radio KWIZERA ambayo pia baadhi ya nyakati ilidiriki kutumia kilugha badala ya kiswahili katika utangazaji wake

Ninachoamini, ni eneo ambalo limetelekezwa kiujumla ndio maana hata matukio mengi ya uharamia yamesheheni katika mapori mazito na milima mirefu inayoizunguka wilaya hii ya Ngara

Kwa yeyote, na aitembelee wilaya hiyo ajionee
Sawa unachokisema ila jaribu kuangilia historia ya hizo nchi tulizopakana nazo ndio utajua kwanini hilo kundi la nyakanazi linawatu wengi kuliko kundi la tunduma au kwa kurahisisha kundi la nyakanazi watu wao wengi walihifadhiwa Tanzania kwenye makambi ya wakimbizi sasa sishangai sana hao watu kuwa wengi maeneo hayo huku kwetu
 
Wewe mpuu.zi sana. Inaonekana uliugua pepopunda utotoni kwakuwa mzazi wako hakuhudhuria clinic. Huu ulioandika ni uharo jazz band. Usirudie tena kutugawa Watanzania. #@$%^$!@!@$^ ZAKO!
[/QUOT


Nilijua mtakurupuka tu!! hii ndio nidhamu niliyoigusia hapo juu kama ulisoma vizuri,sentensi yako inaichora vizuri nidhamu hiyo kumbuka hatuko Unyaru..... wala urundini.... tuko TZ, karibu tena!!!
 
Sawa unachokisema ila jaribu kuangilia historia ya hizo nchi tulizopakana nazo ndio utajua kwanini hilo kundi la nyakanazi linawatu wengi kuliko kundi la tunduma au kwa kurahisisha kundi la nyakanazi watu wao wengi walihifadhiwa Tanzania kwenye makambi ya wakimbizi sasa sishangai sana hao watu kuwa wengi maeneo hayo huku kwetu

Nimekupata vilivyo mkuu wangu, shukran!
 
Kama sio watanzania wafukuzwe tu maneno mengi ya nini.Hawa ndo wanatuvurugia nchi

Serikali imelala pasipo kuiangalia Ngara, ilhali ne Tanzania, kwa matukio yake INASHANGAZA
 
Jana nikiwa hospital ya Murgwanza (mjini Ngara) majira ya saa sita mchana, aililetwa majeruhi aliyechomwa mkuki mbavuni na kutoboa mapafu huku mkuki huo ukihusa moyo

Aliletwa hospital huku akiwa mahututi japo alifaulu kuhojiwa na Radio Kwizera na kujieleza kwa ufupi, wanaodaiwa kumchoma mkuki ni wananchi wa Ng'ambo ya Tanzania japokuwa mkazi huyo alikuwa akiishi Kabanga kijiji cha Nzaza,

Mahututi huyo alipewa referal kwenda Bugando huku akiwa ametundikwa Oxygen, alisafirishwa kwa ambulance na walipofika tu Mizani akakata roho majeruhi huyo ambaye alikuwa ni kijana wa miaka 25 tu

Kuna kila sampuli ya matukio tena huwezi kuamini kama ni binaadam, yaani wilaya hii inatisha kwa uharamia

Je, serikali kweli inaitazama Ngara kwa ukaribu?
 
hebu dadavua kidogo kaka...wako so natural and black sijui wanapaka nini wakiwa watoto...

Hali ya hewa inaruhusu, hakuna JOTO Ngara na ipo juu sana kutoka usawa wa Bahari
 
Wadau,
Tuache masikhara ya kijiografia na tujikite kiuhalisia, wilaya ya NGARA ni Tanzania ama?
Kama ni Tanzania, basi imetelekezwa na warundi/wanyarwanda wamejiotea mizizi na himaya zao,, amini usiamini hakuna tamaduni za kitanzania katika wilaya hiyo, tembelea ujionee

Tamaduni za kitanzania ni zipi? Tanzania ina makabila zaidi ya 120, na kila kabila lina tamaduni zake. Isitoshe, wilaya zilizotelekezwa ni nyingi sana ndugu yangu. Sio ngara peke yake. Nenda msimbati (eneo inapotoka gesi huko mtwara) ukajionee.
 
Hii reaction ya watu humu ndani inanipa wasiwasi,kuna uwezekano watu wameguswa maslahi yao kupitia uzi huu!Ukweli ndo huo wanyaru na warundi wanajimegea ardhi kwa wilaya za Biharamulo,Ngara na Karagwe kama hawana akili nzuri.Serikali imelala fofofo!!

Ni kweli kabisa kwa usemacho mkuu,
Pale Rulenge walikuja wanyarwanda wanaoishi USA na wamenunua ardhi kubwa kwa ajili ya kujenga University wilayani Ngara, ni eneo la jirani ya eneo zitakapokutana reli (inayotarajiwa kujengwa) kwenda Rwanda/Burundi, jamaa wameshanunua ardhi ya vijiji hivyo pasipo kusita kabisa, naamini itawafaidisha zaidi siku chache za usoni
 
We Mzito Kabwela acha dharau,kama umekosa la kuongea bora unyamaze,umetongoza wangapi ukaona kuwa hawakatai?basi unawapenda,wewe kama unaona ni wepesi unawafuata wa nini?wewe ndy hufai,kama umekosa la kuchangia acha tu ndg yangu
teh teh teh teh Umugore wanjye punguza munkari
 
Back
Top Bottom