NGARA ni Tanzania ama?

NGARA ni Tanzania ama?

Tamaduni za watanzania hutofautiana kabila na kabila. Sasa unaposema hakuna tamaduni za tanzania mi sikuelewi. Kumbuka mipaka waliweka wzungu kwa kalamu tu na hivyo makabila yote ya mpakani yana mahusiano sehemu zote mbili za nchi husika. Tamaduni za Tanzania ni kama nembo za taifa basi... Kwani hujakuta bendera za taifa nk?

Pointi muhimu sana hii.
Kunaa baadhi ya makabila yalikatwa sehemu mbili, kutokana na uchoraji huo wa mipaka. Ndivyo ilivyo kwa Wamakonde wa Msumbiji na Tanzania, ama Wamasai wa Kenya na Tanzania
 
Acheni ubaguzi. Nimefika Ngara nimekaa wiki tatu huko. Wahangaza ni watanzania. Muingiliano haukosekani kwakuwa mipaka ipo karibu sana na mahali pengine hata mipaka haipo. Ni sawa na wamakonde, wamasai, wale kabila la kina Juliana Shonza, wahaya na wengneo wa mipakani

Si haki kabisa kusema wamasi, wamakonde, wahangaza, wanyambo,wakurya,wajaluo, wapemba, wahaya, wanyiha, waha n.k kuwa si watanzania kwa sababu tuu ya muingiliano wa mipaka au kukaribiana kwa lugha, Sasa mtu ana post uzi akiwa tayari ameshatoa hukumu kuwa wakazi woteee wa mipakani sio watanzania wakati hao wakazi ndiyo walinzi wa kwanza wa mipaka ya nchi tena vizazi vyao vimeishi maeneo hayo kwa kwa zaidi ya miaka 300, binafsi naona kama post kama hizi ni udhalilishaji na uchonganishi usio vumilika!
 
Hii reaction ya watu humu ndani inanipa wasiwasi,kuna uwezekano watu wameguswa maslahi yao kupitia uzi huu!Ukweli ndo huo wanyaru na warundi wanajimegea ardhi kwa wilaya za Biharamulo,Ngara na Karagwe kama hawana akili nzuri.Serikali imelala fofofo!!
 
Wacha upuuzi wako. Kama huna habari ya kweli ni vyema kunyamaza. Sehemu zote unazozitaja hata huzitaji sawasawa. Ngara ni Tanzania na wahangaza sio watusi ni wahangaza. Wana clans nne na lugha yao ni moja, kihangaza ambacho hushabihiana sana na kirundi, kinyarwanda , kiha na kisubi.[/Q

safi!

Wingi wa utoaji povu sio hoja ndg, toa point!! na hekima zaidi ni kueleza jambo kwa utulivu ikiwa una fact itaonekana tu bila kutoa povu jingi!!! ni kweli wapo wahangaza wa Tanzania ila nyuma ya pazia la kabila la wahangaza wamekuwa wakiingia tena kwa wingi wanyaru.... wajiitao pia kuwa ni wahangaza!!!! na kwa wakati huu wamekuwa wakiingia kwa kasi zaidi ukilinganisha na kuingia kwao hapo nyuma.Utukane kwa aina gani ya matusi it is ok, ni kwamba tu ukweli unauma.

Hata katika yote hayo mfanyayo/wafanyayo kwa hila au kwa ujanja tunataka amani nchini kwetu!!!
 
sio kujaa dar tu!! wameingia katika kila Wizara na taasisi zetu zote tena kwa kasi kubwa wanapeana nafasi kubwakubwa ktk ngazi mbalimbali za nchi yetu!!!
Eti wahangaza!!!!!!!!!????? (wa Tanzania.. hakuna lolote!!!)............ (hao ni wanyaru......... wa Rwanda).Chunguza na usome alama za nyakati!![/QUOTE]
 
Wacha upuuzi wako. Kama huna habari ya kweli ni vyema kunyamaza. Sehemu zote unazozitaja hata huzitaji sawasawa. Ngara ni Tanzania na wahangaza sio watusi ni wahangaza. Wana clans nne na lugha yao ni moja, kihangaza ambacho hushabihiana sana na kirundi, kinyarwanda , kiha na kisubi.[/Q

safi!

sio kujaa dar tu!! wameingia katika kila Wizara na taasisi zetu zote tena kwa kasi kubwa wanapeana nafasi kubwakubwa ktk ngazi mbalimbali za nchi yetu!!!
Eti kila aingiaye toka Rwanda na Burundi mhangaza!!!!!!!!!????? (wa Tanzania.. hakuna lolote!!!)............ (hao ni wanyaru na Warundi........ wa Rwanda na Burundi).
 
Nasikia Watutsi ndio hao Wahangaza waliojaa hadi Dar.

sio kujaa dar tu!! wameingia katika kila Wizara na taasisi zetu zote tena kwa kasi kubwa wanapeana nafasi kubwakubwa ktk ngazi mbalimbali za nchi yetu!!!
Eti wahangaza!!!!!!!!!????? (hakuna lolote!!! hao ni Wanyaru na Warundi tu!!).
 
Wingi wa utoaji povu sio hoja ndg, toa point!! na hekima zaidi ni kueleza jambo kwa utulivu ikiwa una fact itaonekana tu bila kutoa povu jingi!!! ni kweli wapo wahangaza wa Tanzania ila nyuma ya pazia la kabila la wahangaza wamekuwa wakiingia tena kwa wingi wanyaru.... wajiitao pia kuwa ni wahangaza!!!! na kwa wakati huu wamekuwa wakiingia kwa kasi zaidi ukilinganisha na kuingia kwao hapo nyuma.Utukane kwa aina gani ya matusi it is ok, ni kwamba tu ukweli unauma.

Hata katika yote hayo mfanyayo/wafanyayo kwa hila au kwa ujanja tunataka amani nchini kwetu!!!
 
hebu dadavua kidogo kaka...wako so natural and black sijui wanapaka nini wakiwa watoto...
Unafahamu beki ya Arsenal au ya Liver-fool imesharuhusu magoli mangapi hadi sasa?
Mwanamke wa Kihangaza akikukataa nenda kaoge na maji ya yaliyochanganywa na mkojo wa samaki.
Hawajui kusema hapana!

Source Mzito Kabwela
 
Last edited by a moderator:
mulusagamba,muvididili.milamila,k9,lwekubu,kabanga,mutendeli,rusumo,kanaz,kote wamejaa wanyarwada na warundi wanaoitwa wahangaza .rujea ule uzi wa uliosema kagame anaingiza watu wake tz.

watu wanaotoka Ngara wana asili kubwa ya Urundu,tatizo watanzania hatujuwani wala hatuna identity document na hiyo ilifanywa hivyo makusudi ili wageni wachukue uraia kirahisi
anyway kwa sababu tayari walishajiita watanzania basi tushirikiane thjenge taifa letu
 
Wadau,
Tuache masikhara ya kijiografia na tujikite kiuhalisia, wilaya ya NGARA ni Tanzania ama?
Kama ni Tanzania, basi imetelekezwa na warundi/wanyarwanda wamejiotea mizizi na himaya zao,, amini usiamini hakuna tamaduni za kitanzania katika wilaya hiyo, tembelea ujionee

Mkuu, wenyeji wa Ngara, Kigoma ni sehemu ya Wanyarwanda na Warundi, ni watu hao hao. Kama kuna tofauti basi zimesababishwa na mipaka ya wazungu na maendeleo ya sehemu husika baada ya Uhuru. Clan zilizopo kwa Wahangaza, Waha, Warundi na Wanayrwanda ni hizo hizo, ni kama vile Wakurya na Wajaluo waliopo Kenya na Tanzania, ni watu wale wale wenye mila na tamaduni zile zile.
 
Basi kama ingelikuwa sio dermacation za wazungu, Ngara kiuhalisia ingelikwenda Burundi. Full stop!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa nini uipeleke Ngara Burundi badala ya kuileta Burundi na Rwanda huku Tanganyika ambapo ndipo asili yao?
 
Sasa wajameni, hasa wewe Rock City, lengo la kuanzisha huu uzi ni nini hasa? Kama hujui jambo ni vema kuuliza Mkuu, nia yako ni kutaka Wahangaz na Waha tutangazwe kuwa sio Raia wa nchi hii?

Nahisi wewe utakuwa umenza shule baada ya Mitaala kuanza kuchakachuliwa na kina Mungai. Na kwa sababu wengi wenu mmeanza shule nyakati hizo, hiyo hoja yako inaweza kuleta kizaa zaa hasa pale Rais wa baadaye wa nchi hii atakuwa amesoma enzi ya mitaala iliyochakachuliwa.

Kifupi ni kuwa enzi baada ya 1880 hadi WW2, Rwanda, Burundi na Tanganyika zilikuwa nchi moja. Migogoro ya DRC Mashariki inatoka na upuuzi huu huu maana kule pia wapo wengi wanaongea Kirundi na Kinyarwanda ambao asili yao ni DRC.
 
Tuna liinchi likubwa mno kiasi kwamba hata mipaka yetu hatuijui.nashangaa kwa nini tunang`ang`ania ziwa malawi,tuwaachie malawi tu.
 
TUngekuwa kama Congo DRC, kila mtu ana haki ya kubeba rasilimali na kufanya atakavyo. Cha wote hakina mwenyewe.
 
Back
Top Bottom