NGARA ni Tanzania ama?

NGARA ni Tanzania ama?

Unafahamu beki ya Arsenal au ya Liver-fool imesharuhusu magoli mangapi hadi sasa?
Mwanamke wa Kihangaza akikukataa nenda kaoge na maji ya yaliyochanganywa na mkojo wa samaki.
Hawajui kusema hapana!

Source Mzito Kabwela
Kweli akutukanae hakuchagulii tusi ila wewe umechagua mkuu!!laiti ungejua!!
 
Nilipokuwa naianzisha hii thread nilibezwa sana hapa jamvini, leo hii Rais na wananchi wanajionea yaliyopo.

Sasa, ni serikali iwe inachukulia umuhimu wa kufatilia taarifa zenye maslahi kwa nchi yetu.

Kipindi cha Januari nilipokuwa Ngara na maeneo ya takriban wilaya yote nilijionea, lakini hivi karibuni RC wa Kagera alipofanya ziara ya siku 3 wilayani Ngara pia akajionea. Ndipo akamshauri Rais JK kuwa achukue hatua.

Sasa, muda unaongea.
 
raia wa tanzania wanaoishi ngara ni kidogo sana,wengi ni wanyarwanda,waburundi na congo

Mkuu Money stunna,
Hivi sasa ndio yanaonekana yale tuliyoyaweka hapa jamvini juu ya pale Ngara, tulibezwa ila sasa ndio yanabainika.

Kwa jambo la kweli, hakika muda huongea.
 
Last edited by a moderator:
JK aliwaza na kumpatia Kagame atleast aongeze ukubwa wa kinchi chake...kwahiyo kijiografia Ngara ni tanzania,kiutawala Ngara ni sehemu ya Burundi.

Mkuu, mambo hayo sasa ndio yanabainika. Wangetusikia kipindi kile, naamini serikali ingeyashughulikia kimya kimya na kuwatokomeza.

Sasa ndio yanashughulikiwa tena kukiwa na tensions kubwa baina ya mataifa mawili haya.
 
No research no right to talk. Hiyo conclusion umeifikiaje? Umetembelea wapi hadi ufikie hitimisho hilo? Acheni kuliaibisha jamvi wakuu. Hata kama "JF is where we dare to talk openly" haina maana kuwa anything appealing to your intelligence is right or can be spoken about as being Just!!!

Mkuu genekai,

Tazama coment yako kipindi cha miezi saba iliyopita na yanayojiri sasa naimani unajionea.

Sisi wengine huwa hatuna capability za kuandaa prominent research on matters zaidi ya kutoa taarifa na facts.

Kumbuka mpaka sasa tulipofikia muda huu, RC wa Kagera kanali Fabian Massawe alitembelea wilaya hiyo kwa siku tatu mfululizo na kujionea. Ndipo akamtaarifu amiri jeshi mkuu wetu, ilipozuka hizi tensions ndipo sasa kila mmoja yupo aware kwa kile kilichojiri.

Bado JF inazidi kuzoa credibility kwa kuturuhusu kuongea kwa uwazi, hii ni moja ya sehemu ya yaliyowahi kuletwa na kujadilika hapa jamvini japo kwa kubezwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Acha upuuzi, dont be a simple minded person, Hiv unajua maneno kama haya ni hatari sana! yaani wewe leo unataka kutuambia kwamba Wahangaza ndani ya taifa hili ni Wanyarwanda au Warundi? Nina mashaka na uwezo wako japo unajua kuchezea keyboard! Na ukitoka Ngara utakwenda Mwambao mwa ziwa Nyasa utasema Wanyasa sio Watanzania ni wamalawi baadaye utasema wengine, kwa nini sasa tunaongea hivi?

Usijari ndugu, hapa wanatafutwa wale wa Kagame mwizi.
 
Ukisoma hii thread utaona ni jinsi gani sisi watanzania tulio wengi tunapenda kutoa majibu marahisi kwa maswali magumu. Hivi kweli unaweza ukajenga hoja kwamba raia wa Ngara wengi ni Warundi au Wanyarwanda? have you taken trouble kufanya utafiti wa wakazi wa hii wilaya? Unajua kwamba raia wa Ngara wana mwingiliano mkubwa sana wa lugha na tamaduni na watu wa Rwanda na Burundi? In fact kiHangaza na kiShubi viko closely related na Kinyarwanda na Kirundi. These are historical facts. Tamaduni za watu wa Ngara (culture zao: social and political ziko almost kama za wanyarwanda na warundi). Now are you going to deny this reality simply because haumpendi Kagame na wenzake? This is extremely narrow mindedness.

Yes. I agree uhalifu na vitendo vingine vya uvunjifu wa amani vimeongezeka. Lakini hili halikwepeki kwa wilaya ambayo iliwahifadhi wakimbizi almost a million for many years now (kuanzia mwaka 1959, 1970s, 1980s na 1990s kipindi cha Genocide Rwanda na machafuko Burundi). Utakuta kwamba hizi factors zimesababisha mabadiliko makubwa sana Ngara. Na in anycase mipaka yetu haiko strong hivo..kwa miaka nenda rudi watu wanajifanyia biashara maeneo ya mipakani..wanaoana...hii mipaka in real life..watu hawaijui!.... Ila sasa ni upotofu kudhani kwamba Ngara nzima wakazi wake ni Wanyarwanda au warundi simply because lugha na tamaduni zao zinaendana na haya mataifa mawili. In anycase, lazima tujue kwamba hii mipaka ililetwa na wazungu. Kabla ya hapo kulikuwa hakuna tofauti ya wakazi wa Ngara, Burundi au Rwanda. This can be said of other parts of Tanzania and indeed other African countries.

I believe ni jukumu la serikali kulinda mipaka yetu. Hizi propaganda za watu ambao hawafanyi utafiti kuielewa kwa mapana nchi yao hazitufai. Kama kuna wanyarwanda au warundi hawaishi kihalali hapa nchini kwetu basi wakamatwe warudishwe kwao. Ila its wrong kumhukumu mtu wa Ngara kwamba ni mrundi au Mnyarwanda simply because anaongea Kirundi au Kinyarwanda. These are historical facts you can never do anything about it.

Nchi yetu imepakana na mataifa mengine mengi. Sasa utasema kwamba wajaluo wote ni wakenya? au waha wote ni warundi? You see? its non practical. Ni vema tujifunze kwa undani historia ya taifa letu. Tuko wengi na tuko tofauti lakini lazima tuishi pamoja. Its a geographical accident kwamba Mtu wa Ngara au Kigoma lazima akubali kushare uTanzania wake na mtu wa Mbamba Bay au Rufiji (more than 2000kms) kuliko mtu wa Burundi au Rwanda (less than 100kms!). Hili ni swala la kiHistoria halikwepeki..sasa sisi tukitaka kuchukulia hizi tofauti as weakness rather than strength, well, I suppose WE SHALL ALL be losers.


Masanja
 
sehemu zote zilizopakana lazima kutoka pande zote mbili' watakuwa na ndugu...mfano mtu yuko kigoma kuna wakati amavukaa tanganyika kwenda burundi kusalimiana na ndg zake na wa burundi wanafanya hivyo hivyo wanavuka kuja kigoma kusalimia ndugu zao....swala hilo halikwepi....nawashangaa uhamiaji mtu kama unaishi na nchi jirani basi utawaskiaa tuna wasi we siyo mtanzania basi kwanini nchi inangangania sehemu hyo .....kwa hiyo suala la kukaa karibia na nchi jirani halikwepeki....
 
Nilitembelea ngara rulenge...jamani duniani kuna mademu wazuri...
 
Back
Top Bottom