NGARA ni Tanzania ama?

NGARA ni Tanzania ama?

Mia wakora sana waitu, usengwile sana, wabeja sana mwana wani, ulakoze, sande sana mwana kwetu, nk (Kindly note sitaki maswali kwa hizo lugha, Kongoi (kikalenjini in Kenya), Nasi ama/ako (kiiraqwu) in Mbulu ha ha inawatoshea bana kha??
Alale Pema Peponi Kamanda
 
No research no right to talk. Hiyo conclusion umeifikiaje? Umetembelea wapi hadi ufikie hitimisho hilo? Acheni kuliaibisha jamvi wakuu. Hata kama "JF is where we dare to talk openly" haina maana kuwa anything appealing to your intelligence is right or can be spoken about as being Just!!!
Alale Pema Peponi Kamanda
 
upeo mdogo sana wa kufikiri,ikiwepo na kutoijua historia ya maeneo husika,rejea video ya Prof kabudi akielezea haya.
 
Ngara ni Tanzania, na wahangaza sio watutsi ingawa wanafanana sana mila zao. KUMBUKA: mipaka iliwekwa na wakoloni, ubaguzi wako ndio umaskini wako.
 
Wadau,
Tuache masikhara ya kijiografia na tujikite kiuhalisia, wilaya ya NGARA ni Tanzania ama?
Kama ni Tanzania, basi imetelekezwa na warundi/wanyarwanda wamejiotea mizizi na himaya zao,, amini usiamini hakuna tamaduni za kitanzania katika wilaya hiyo, tembelea ujionee
Tanzania nchi ya amani sababu mojawapo tuna makabila yote ya nchi tunazowapakana nazo

Wakileta za kuleta tunawapelekea watu wao wenyewe ambao ni watanzania wakawatandike
 
Ngara ni Tanzania, na wahangaza sio watutsi ingawa wanafanana sana mila zao. KUMBUKA: mipaka iliwekwa na wakoloni, ubaguzi wako ndio umaskini wako.
🤣🤣 dagaa sio samaki ila wanafanana. Sema tu ni nyavu zilizotumika kuvua ndio zikatenganisha dagaa na samaki. I like this one!
 
Back
Top Bottom