Kama sio watanzania wafukuzwe tu maneno mengi ya nini.Hawa ndo wanatuvurugia nchi
Kama lengo lako lilikua kuongelea yanayojiri NGARA iweje uulize kama ni TANZANIA?wewe si ungeongelea hayo yanayojiri na co kusema eti kama ni TANZANIA au lah!kwani matukio ya ujambazi yako NGARA tu?huko kote yanakofanyika nako sio TANZANIA?majambazi yakivamia KARIAKOO nako utasema sio TANZANIA?au ni kutaka kujua wahangaza wana hasira kiasi gani?basi kama mmeona sisi sio watanzania nendeni mkatoe taarifa uhamiaji turudishwe kwetu mmbaki na nchi yenu ya ufisadi na ubaguzi
Wewe mpuu.zi sana. Inaonekana uliugua pepopunda utotoni kwakuwa mzazi wako hakuhudhuria clinic. Huu ulioandika ni uharo jazz band. Usirudie tena kutugawa Watanzania. #@$%^$!@!@$^ ZAKO!Unafikiri kwanini tunawashtukia hao wajiitao wahangaza wa Tanzania?tunafahamu wako wahangaza wa nchi hii ila nyuma yao wako hao wanyaru na warundi a.k.a wahangaza?? uliza Kongo walipowakaribisha,wasivyokuwa na aibu hata kidogo walichokifanya utashangaa sana ndg hawa ni hatari sana, kuhusu tabia zao/zenu, ukiangalia kongo historia inajieleza vizuri???(wanyaru na warundi a.k.a wahangaza!!!!!!????)
wewe unapajua kwetu?huna unalolijuaTumechoka na hao wajiitao wahangaza wakishahamia kwetu(wanyaru na warundi kulia geuka ..........rejeeni kwenu)!!!!
ninapoongelea juu ya ngara sijakurupuka, tembea iwe ni nyakanazi, lusahunga, ngara mjini yenyewe, rulenge, rusumo na hata kabanga sehemu hizo za wilaya hii si sawa na maeneo mengine ya mipakani mwa nchi hii kama ilivyo tunduma, namanga, sirari, mbamba bay, mutukula etc
sasa nipo ngara, najionea hali ilivyo, kumesheheni wanyarwanda kuliko warundi, vitendo vya kiharamia vimesheheni, huwezi kuendesha gari yako private baada ya saa mbili usiku hata uwepo ngara mjini, mgeni anajulikana kwa aina ya kiswahili
ni aghalabu kukuta watu wakiongea kiswahili, hakuna fm radio zaidi ya radio za kinyarwanda tena wakilonga kinyarwanda na ndizo zinazosikika, ipo radio kwizera ambayo pia baadhi ya nyakati ilidiriki kutumia kilugha badala ya kiswahili katika utangazaji wake
ninachoamini, ni eneo ambalo limetelekezwa kiujumla ndio maana hata matukio mengi ya uharamia yamesheheni katika mapori mazito na milima mirefu inayoizunguka wilaya hii ya ngara
kwa yeyote, na aitembelee wilaya hiyo ajionee
tumechoka na hao wajiitao wahangaza wakishahamia kwetu(wanyaru na warundi kulia geuka ..........rejeeni kwenu)!!!!