NGARA ni Tanzania ama?

NGARA ni Tanzania ama?

Tamaduni za watanzania hutofautiana kabila na kabila. Sasa unaposema hakuna tamaduni za tanzania mi sikuelewi. Kumbuka mipaka waliweka wzungu kwa kalamu tu na hivyo makabila yote ya mpakani yana mahusiano sehemu zote mbili za nchi husika. Tamaduni za Tanzania ni kama nembo za taifa basi... Kwani hujakuta bendera za taifa nk?

Hapo ndo fikra zake zilipofikia bora umwache tu maana sijaona lengo la yeye kupost hivi alikuwa lilikuwa ninini na zaidi anaonekana ni mtu wa majungu pia hana cha kufanya leo ndo maana kaona atafute cha kupost.
 
Ngara wachu,msalimie mama clara,mboyo,temu,kamachumu,mbiligi,mrefu,na machzi wote kina lenini waambie mwanawao npo mjini nafanya mambo,ipo cku ntarudi 2kale bata rusumo!!
 
Tunaelekea pabaya kama Tanzania itaangaliwa bila kuzingatia historia halisi na ukweli kuhusu Berlin conference. Leo tukitenga eneo la Magharibi na nchi jirani tutakuwa tunajidanganya na kuleta hali mbaya kiusalama.
Na baada ya hapo tutaelekea kwa wamasai tuwarudishe kwao Kenya, kusini tuwarudishe Msumbiji na Malawi, Zambia nk.
Naona tutafanya kazi ya kurudisha kila mtu na nchi itakaliwa na waliochukuliwa kama watumwa enzi hizo.
Ukweli ni kuwa maeneo yote ya mipaka yana watu wenye mahusiano ya moja kwa moja. Hii inatokana na kuwa waliogawa mipaka hawakuuliza ndugu walipogawana na jamii nyingine.
Tuangalie tusigawanyike!
 
Ngara inatokana na mti mababu zetu wakina BARAMBA walipo kuwa wanafanyia mikutano upo pale halmashauri unaitwa igiti cha ngara ndo wakapata jina la wilaya ya ngara. wenyeji wa ngara ni wahangaza wanaoongea kihangaza na washubi wanao ongea kishubi. ngara ina mchanganyiko wa wahaya, wanyambo na wasubi na waha pia. lugha za watu wa ngara na rwanda, burundi hazitofautiani sana coz hata mipaka ni bikon tu!. mi nimefika hadi kwa akina rutihinda.
utazi umuhangaza amuhanga amaso. mia


Mia wakora sana waitu, usengwile sana, wabeja sana mwana wani, ulakoze, sande sana mwana kwetu, nk (Kindly note sitaki maswali kwa hizo lugha, Kongoi (kikalenjini in Kenya), Nasi ama/ako (kiiraqwu) in Mbulu ha ha inawatoshea bana kha??
 
jf sasa inapoteza dira kwa ignorance ya wachache. matusi na kejeli among members yanatoka wap? tangu lin waTz wakawa wakabila? hta hvyo jf ni jukwaa la elimu kw umma so sionì sababu ya kupuuza mawazo ya wengine,HAJA YA MJA HUNENA NA UUNGWANA NI VITENDO
 
Aliyeleta huu uzi anafikiri kwa ku2mia makalio zaidi. Ni mwaka gani umefika Ngara ukashindwa kuendesha gari lako saa 2 usiku? Kimsingi hizo ni zama za kipindi cha wakimbizi na sio ngara ya sasa! Na kuhusu lugha zinazotumiwa na wakazi wa wilaya ya Ngara ambazo ni Kihangaza na Kishubi kufanana na lugha za Kirundi na Kinyarwanda ni kutokana na ukaribu wa nchi hizo na wilaya hiyo. Sisi wasomi tunaelewa maana ya Lahaja na sababu za kutokea kwa Lahaja, ila kwa KIAZI kama wewe huwezi kuelewa. Nyambafu!
 
ndala ndefu,we sio msomi kama unavyo jiita hayo matusi hayaoneshi kuwa kuna msomi hapo,rahaja hata watoto wa foqm 2 wanajua.tumia maneno ya kawaida tu utaeleweka.mwenye hekima huona haya na kujificha mpumbavu huenda mbele na kuvimba kichwa.msemo
 
ndala ndefu,we sio msomi kama unavyo jiita hayo matusi hayaoneshi kuwa kuna msomi hapo,rahaja hata watoto wa foqm 2 wanajua.tumia maneno ya kawaida tu utaeleweka.mwenye hekima huona haya na kujificha mpumbavu huenda mbele na kuvimba kichwa.msemo

We pia ni kiazi vilevile na unafikria kwa kutumia......! Na sio rahaja ni Lahaja, pia ni form two sio foqm two. Nyambafu! Rudi darasani uanze darasa la pili ufute hayo maujinga yako. Kuna matusi zaidi ya kuwaita Wahangaza na Washubi wa Ngara ni Wanyarwanda au Warundi?
 
Kuhusu Ngara sehemu ya Tanzania hilo linaeleweka halina swali, ila kuhusu muingiliano wa wageni hasa Wanyarwanda na Warundi imekuwa kero wakati mwingine tusiwe na ukarimu wa kupitiliza alafu baadaye tukaja jilaumu. Jiulize ukarimu tunaowafanyi sisi wao wanatufanyia na sisi? Mleta uzi tusimtukane alikuwa na maana kwa mtu ambaye amefanikiwa kufika wilaya NGARA na KARAGWE anajua kitu hiki wnyarwanda na warundi ni wengi na wakati na kibaya zaidi wanafanya vitendo vya kiharamia ujambazi utekaji wizi wa mifugo
 
Binafsi sina tatizo na wageni kwa maana hata mie nimeishi nchi za watu kama ngeni, ila ninachosema wafuate utaratibu siyo watu wanajipachika uraia tu wafuate utaratibu. Huwezi kutia mguu rwanda au burundi ukamiriki ardhi, utawezaje kama hata kukaa kuanya mishe zako ni mbinde.

Mwiso nasema hivi, pamoja na maingiliana ya jamii hizi za mipakani lakini taratibu zieshimiwa na viongozi wa serikali walitambue hili na kulitekeleza.

Masuala ya lugha kufanana ilo siyo tatizo.
 
Kuna watu wamekalia ku post ujinga ujinga tuu adi wanauzi!

Busara na iamue katika ukweli.
Watu wote tunahusiana ila si kwa hila. Wanyarawanda ni watu wa hila na wana Mtandao mkubwa mno tangu miaka ya nyuma.
Usikasirike kwa sababu imekugusa.
Au unataka tukutajie ?
 
Mia wakora sana waitu, usengwile sana, wabeja sana mwana wani, ulakoze, sande sana mwana kwetu, nk (Kindly note sitaki maswali kwa hizo lugha, Kongoi (kikalenjini in Kenya), Nasi ama/ako (kiiraqwu) in Mbulu ha ha inawatoshea bana kha??

kha!. mia
 
Kuna watu wamekalia ku post ujinga ujinga tuu adi wanauzi!

Tulia wewe huo siyo ujinga, ukiona mtu anapanic ujue imemuuma. Hawa jamaa nawafahamu sana mambo yao kama ya wasomali, japo siyo wote wenye tabia mbaya lakini wengi wao ni watata, I know them very well.
 
mulusagamba,muvididili.milamila,k9,lwekubu,kabanga,mutendeli,rusumo,kanaz,kote wamejaa wanyarwada na warundi wanaoitwa wahangaza .rujea ule uzi wa uliosema kagame anaingiza watu wake tz.

Acheni ubaguzi. Nimefika Ngara nimekaa wiki tatu huko. Wahangaza ni watanzania. Muingiliano haukosekani kwakuwa mipaka ipo karibu sana na mahali pengine hata mipaka haipo. Ni sawa na wamakonde, wamasai, wale kabila la kina Juliana Shonza, wahaya na wengneo wa mipakani
 
Last edited by a moderator:
Ni Tanzania bwana, Kwetu ni K9 , pale ndipo asili yetu
Wadau,
Tuache masikhara ya kijiografia na tujikite kiuhalisia, wilaya ya NGARA ni Tanzania ama?
Kama ni Tanzania, basi imetelekezwa na warundi/wanyarwanda wamejiotea mizizi na himaya zao,, amini usiamini hakuna tamaduni za kitanzania katika wilaya hiyo, tembelea ujionee
 
Back
Top Bottom