dini hairusu....Naaam!!Jana na leo.....Mkuu vipi hii upendi hii kitu.
nakuja kuvunja hicho kibanda mnachofugia....unapita unaenda wapi?karibu
hii kitu kama hujawah kuonja na umefungwa na imani yako, usiijaribu asilani!! Acha sie tule badala yenu. Na kama kunaadhabu huko (Mbinguni) kwa sababu ya kula hii kitu nipo radhi
haahaha, mkuu mimi nimetoka kupata mida hii hiyo kitu na idadi nyingi ya viroba chapa jogoo!Umeona sasa umenifanya nitoroke ofisini...! utajibu wewe.. mie naenda kupata hiyo kitu na grants ndogo then narejea..
hii kitu nikiikumbuka nahisi kuumwaHa!ha!hapo kwenye nyekundu ilo ndo neno langu la kufungia huu uzi hapa jamvini.