Msafiri - Kwanza Unit

Feb 6, 2024
40
51
KWANZA UNIT CREW - MSAFIRI..

Ubeti1

Hii Ndo Picha Kabla Pazia la Udongo Ndani Futi sita/
Vita, Kila Watu 9 Kati ya 10 Dhidi ya Hali duni/
Naelekea Nchi ya Ughaibuni/
Nimezunguukwa na Dhoruba/
Nshapagawa Siioni Rasi Wala Ghuba/
Yah Allah! Jah, Jehovah Shuhudia Robo Zinavyoangamia/
Hali ya Hewa Imechafika,Giza Lauficha Utakatifu/
Kite Sioni Kitu/
Mateso Bila Chuki Mkushi, Bado Hustuki/
Wapi,Yupi,Lini?
Silazma Uende Shule Jibulake Lipo Mjini/
Songambele, Songa/
Yawezi Kaachonjo Saa Mbaya Mjomba/
Pesa ilete Mvuto, Msukosuko, Pamoja na mabalaa yalo Zagaa/
Nyuzi Mistari Sitini, Chief Rhymeson Makini/
Wala Sichoki, Sahihi Wangu mi Passport/ Ubongo Viza,Kwani yanalipa Mapinduzi Ya Fikra/
Usawa Huu, Hufuata Huko Huku Aliyeko juu/
Nani Ajaze Hili Jedwali, Deshdesh, Nyumerali Zinavyogawanywa Bila tahadhali/
Farasi Motokari, Punda Au Ngamia/
Vyote byee kama Umeweka Nia, We MKWANZANIA

D.ROB

Nilianza na KWANZA, Nilikua msema Hadi Hii sisemitena/
ROB Si ROB tena,
Maovu Ndo yamejaa hakuna Mema/
Niite ZOMBA Nataka Kupiga bunda Duniani Ka Motoni Naota Ndoto za Peponi/
Namiona Shetani, Aniuliza wee Nani? Na Uataka Nini? Pesa,Magari na Majumba ya Kifahari?
Njoo Unifuate Mimi/ Nakua Makini,Nakwenda kwa kasi Lakini/
Naona Giza,Napiga yowe, Nasonga Mbele Litakalokua na Liwe Nipo Mwenyewe Katikati, Nyuma Mbali Mbele Mbali/
Nakutana na Mambomengi ilimradi tu Hatari/
Unyama Hakuna Utu, Night kali/
Mi DAALI na ALLY ALLY, Shelly/
WakatieHatuna Kitu,Safari ni Ndefu/
yoh Kama Majeshi na Mitutu,
Wazungu na Makapu, Wazima na Wafu/
Eeh Mungu Walaze Pema Peponi Amina/
Waliotuacha Katika Safari Tutaonana tena/ Kama Ilivyosemwa Mwisho tutarudi Tena/
KWANZA UNIT KING KIKI Vipi Mbona Hatufiki?

Kibwagizo

K.SINGO

Mimi MSAFIRI bado Niko Njiani
Sijui Lini ntafika?
Naulizia Kule Ninakokwenda, Sijuilini Nitafika

Ubeti3

CHIEF RHYMSON

Kafiri Hubatiza MSAFIRI/
Bila Upeo wa Akili, Haina Asili Utajiri/
Kabda ya Tafsiri, Tasbihi, Tafakari Tahadhali/
Nini Unanja Duniani Zaidi ya Kusoma?
Fika Hapo ROMA, Fanya Kama Wafanyavyo Warumi/
Hinata Hii ni ya KWANZAIAN'S Wote Karibuni/
Ngeni Siku Ya kwanza, Yapili Mpe Jembe Akalime/
Haya Shime, Haya Shime/
Vita Hivi Si vya Rungu,Mkuki Wala Sime/
Nnakana Shaka la Utoro Safari Ndo Kwanza Imeanza,
Wazee wa Baraza,Mahaakimu,Mjaji na Wanajimu/
Wanafalsafa Wakufunzi na Walimu/
Maprofesor Ndani ya elimu ya Saikolojia/
Watawa Ndani usa Parokia, Maandiko Makuu, Qur'an,Taurat na Biblia/
Fuatia Ukweli na Funulia Inapoishia Hii Safari/ Mabonde Majabari Na Milima/
Mi nnafuata Maji ya Uzima/
TIBA, Kitindamimba Hakika Ntashinda/
Vito Vya Thamani Isiyo Kipimo
Dhahabu na Almasi Toka Enzi Ya Machimbo ya Mfalme Suleiman/
Yote, Yamebaki Hadithi,
Na Huko Nchi Ya Misri,Umungu Mtu Ulisha Mshinda Firauni/
Olewako Useme RAP Uhuni/
Adili na Nduguze Walio baki Makini, Fanya Tathmini/
Toka Tisini Hadi We Uingie Mjini Mi Bado Nashika Mpini

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

👉🏿Kwanza Unit walijaribu kutengeneza muziki wao bila ya kutumia hadithi za fujo, lugha chafu, na taswira zenye umaarufu kupitiliza, ingawaje dhamira hizo zilifikisha ujumbe kwa jamii...

Leo nimekuwa na mood ya mastori ya kitambo, hususani muziki wa Hip hop ndani ya Siasa na vita ya kiuchumi kidogo...

Lakini kwa wasanii wa sasa wanaofanya Muziki wa Hip hop wamejikita na mapenzi tofauti na zamani .

Wakati "hip hop" ni aina ya Muziki wa kiharakati..

Na feel pain sana nikiona Baadhi ya mc wakiacha msingi Dhabiti ya Hip Hop na kujikita na mapenzi..

Much respect
Kwa.

Kwanza unit crew & deplowmatz.

Rap is something you do but Hip Hop is something you live.
 
Attachments

  • FB_IMG_1709976234530.jpg
    FB_IMG_1709976234530.jpg
    19.4 KB · Views: 5

Uko njema mkuu, ila kuna sehemu kidogo labda typing error, nimeweka "CAPITAL"

Kafiri Hubatiza MSAFIRI/

"DIRA" Upeo wa Akili, Haina Asili Utajiri/

Kabda ya Tafsiri, Tasbihi, Tafakari "TAFADHALI"/

Nini "UJANJA" Duniani Zaidi ya Kusoma?

"UFIKAPO" ROMA, Fanya Kama Wafanyavyo Warumi/

"HIMAYA" Hii ni ya KWANZAIAN'S Wote Karibuni/

Halafu Mkuu Mbona umemsahau Mzee King Kikii alietoa biti?
 
Uko njema mkuu, ila kuna sehemu kidogo labda typing error, nimeweka "CAPITAL"

Kafiri Hubatiza MSAFIRI/

"DIRA" Upeo wa Akili, Haina Asili Utajiri/

Kabda ya Tafsiri, Tasbihi, Tafakari "TAFADHALI"/

Nini "UJANJA" Duniani Zaidi ya Kusoma?

"UFIKAPO" Hapo ROMA, Fanya Kama Wafanyavyo Warumi/

"HIMAYA" Hii ni ya KWANZAIAN'S Wote Karibuni/

Halafu Mkuu Mbona umemsahau Mzee King Kikii alietoa biti?
Nadhani aliwalenga Kwanza Unit wenyewe tu Ila King Kikii ndio mwenye beat,
 
KWANZA UNIT CREW - MSAFIRI..

Ubeti1

Hii Ndo Picha Kabla Pazia la Udongo Ndani Futi sita/
Vita, Kila Watu 9 Kati ya 10 Dhidi ya Hali duni/
Naelekea Nchi ya Ughaibuni/
Nimezunguukwa na Dhoruba/
Nshapagawa Siioni Rasi Wala Ghuba/
Yah Allah! Jah, Jehovah Shuhudia Robo Zinavyoangamia/
Hali ya Hewa Imechafika,Giza Lauficha Utakatifu/
Kite Sioni Kitu/
Mateso Bila Chuki Mkushi, Bado Hustuki/
Wapi,Yupi,Lini?
Silazma Uende Shule Jibulake Lipo Mjini/
Songambele, Songa/
Yawezi Kaachonjo Saa Mbaya Mjomba/
Pesa ilete Mvuto, Msukosuko, Pamoja na mabalaa yalo Zagaa/
Nyuzi Mistari Sitini, Chief Rhymeson Makini/
Wala Sichoki, Sahihi Wangu mi Passport/ Ubongo Viza,Kwani yanalipa Mapinduzi Ya Fikra/
Usawa Huu, Hufuata Huko Huku Aliyeko juu/
Nani Ajaze Hili Jedwali, Deshdesh, Nyumerali Zinavyogawanywa Bila tahadhali/
Farasi Motokari, Punda Au Ngamia/
Vyote byee kama Umeweka Nia, We MKWANZANIA

D.ROB

Nilianza na KWANZA, Nilikua msema Hadi Hii sisemitena/
ROB Si ROB tena,
Maovu Ndo yamejaa hakuna Mema/
Niite ZOMBA Nataka Kupiga bunda Duniani Ka Motoni Naota Ndoto za Peponi/
Namiona Shetani, Aniuliza wee Nani? Na Uataka Nini? Pesa,Magari na Majumba ya Kifahari?
Njoo Unifuate Mimi/ Nakua Makini,Nakwenda kwa kasi Lakini/
Naona Giza,Napiga yowe, Nasonga Mbele Litakalokua na Liwe Nipo Mwenyewe Katikati, Nyuma Mbali Mbele Mbali/
Nakutana na Mambomengi ilimradi tu Hatari/
Unyama Hakuna Utu, Night kali/
Mi DAALI na ALLY ALLY, Shelly/
WakatieHatuna Kitu,Safari ni Ndefu/
yoh Kama Majeshi na Mitutu,
Wazungu na Makapu, Wazima na Wafu/
Eeh Mungu Walaze Pema Peponi Amina/
Waliotuacha Katika Safari Tutaonana tena/ Kama Ilivyosemwa Mwisho tutarudi Tena/
KWANZA UNIT KING KIKI Vipi Mbona Hatufiki?

Kibwagizo

K.SINGO

Mimi MSAFIRI bado Niko Njiani
Sijui Lini ntafika?
Naulizia Kule Ninakokwenda, Sijuilini Nitafika

Ubeti3

CHIEF RHYMSON

Kafiri Hubatiza MSAFIRI/
Bila Upeo wa Akili, Haina Asili Utajiri/
Kabda ya Tafsiri, Tasbihi, Tafakari Tahadhali/
Nini Unanja Duniani Zaidi ya Kusoma?
Fika Hapo ROMA, Fanya Kama Wafanyavyo Warumi/
Hinata Hii ni ya KWANZAIAN'S Wote Karibuni/
Ngeni Siku Ya kwanza, Yapili Mpe Jembe Akalime/
Haya Shime, Haya Shime/
Vita Hivi Si vya Rungu,Mkuki Wala Sime/
Nnakana Shaka la Utoro Safari Ndo Kwanza Imeanza,
Wazee wa Baraza,Mahaakimu,Mjaji na Wanajimu/
Wanafalsafa Wakufunzi na Walimu/
Maprofesor Ndani ya elimu ya Saikolojia/
Watawa Ndani usa Parokia, Maandiko Makuu, Qur'an,Taurat na Biblia/
Fuatia Ukweli na Funulia Inapoishia Hii Safari/ Mabonde Majabari Na Milima/
Mi nnafuata Maji ya Uzima/
TIBA, Kitindamimba Hakika Ntashinda/
Vito Vya Thamani Isiyo Kipimo
Dhahabu na Almasi Toka Enzi Ya Machimbo ya Mfalme Suleiman/
Yote, Yamebaki Hadithi,
Na Huko Nchi Ya Misri,Umungu Mtu Ulisha Mshinda Firauni/
Olewako Useme RAP Uhuni/
Adili na Nduguze Walio baki Makini, Fanya Tathmini/
Toka Tisini Hadi We Uingie Mjini Mi Bado Nashika Mpini

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

👉🏿Kwanza Unit walijaribu kutengeneza muziki wao bila ya kutumia hadithi za fujo, lugha chafu, na taswira zenye umaarufu kupitiliza, ingawaje dhamira hizo zilifikisha ujumbe kwa jamii...

Leo nimekuwa na mood ya mastori ya kitambo, hususani muziki wa Hip hop ndani ya Siasa na vita ya kiuchumi kidogo...

Lakini kwa wasanii wa sasa wanaofanya Muziki wa Hip hop wamejikita na mapenzi tofauti na zamani .

Wakati "hip hop" ni aina ya Muziki wa kiharakati..

Na feel pain sana nikiona Baadhi ya mc wakiacha msingi Dhabiti ya Hip Hop na kujikita na mapenzi..

Much respect
Kwa.

Kwanza unit crew & deplowmatz.

Rap is something you do but Hip Hop is something you live.
Waliandika haya wakiwa vijana wadogo tu, pengine umri wa sekondari.
 
Dah hii Ngoma hua naipenda Sana Sana Sana ....
Mimi msafiri nipo njiani.... Sijui kama nitafikaaaaaaa
 
Enzi hizo lyrics zote zilikua kichwani na zichana kwa utuo kabisa🔥
 
Umenikumbusha mbali sana dah
 
Mistari inayoendelea kuishi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom