Jinsi nilivyotaka kumfilisi mwenye nyumba wangu

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili nikiendelea kula kitabu na kufurahia maisha ya chuo bila stress na bata za chuo zikiendelea kama kawaida.

Basi nilipanga mtaani kwenye nyumba ambayo ilijengwa na mzee mmoja hivi alitambulika kwa jina la (katili) na huyu mzee alikua ni katili haswa amewanyanyasa sana wanafunzi na kodi yake ulikua hauvushi hata siku mbili ya tatu vyombo vyako vyote vipi nje. Na ukileta mdomo matusi na vibao unapigwa na hauna cha kumfanya alikua ni mjeuri haswa.

Na pia eneo lililo jengwa hii hostel ni eneo lenye thamani sana ila yeye alilipata kwa kumkopesha laki nane mama mjane alipe ada za mwanae hivyo huyu mama akashindwa kulipa riba zikazaana hadi akataifisha uwanja na kujenga hizi hostel.

Pia ni mzee ambaye ukikopa hela zake huwezi zirudisha na kazurumu wengi kwa hiyo staili nenda popote atakushinda.

Mimi na yeye tulikuja kukwaruzana hapa ...ilikua ni siku kaja kutembelea mjengo wake akanikuta najiandaa kuenda kupasha. Basi akaniuliza taarifa za mpangaji mwenzangu nikamjibu sifaham chochote ile kifupi akakaa kimya baada kama ya dk mbili tatu akaniuliza za mtu mwingine nikamjibu mzee wangu samahani sina taarifa za mtu yoyote.

Akaniuliza tena kwani wewe unaishije na wapangaji wenzio nikamjibu naishi nao vizuri tu. Akaniuliza kwa nn sina taarifa zao nikamjibu Mimi sio msemaji wao wala wao hawajanipa maagizo yotote juu yako. Nikawa nanyanyuka kuingia ndani niweke mambo sawa niende zangu zoezi.

Ile natoka akaniuliza we kijana mbona jeuri sana . Nikamuuliza kwa nn unanihukumu bila sababu...? Au kuna kodi unanidai....akaniambia hii jeuri unaitoa wapi mtoto mdogo kama wewe bado unanuka mikojo ya mama yako....? Hii kitu ilinistua na kuteka attention yangu haswa. Nikageuka na kumuambia mzee samahani nimekukosea nini......? Akanijibu ungekua na jeuri ungejenga nyumba yako.

Sikutaka kuwa mnyonge niliendelea kukaza maana huyu mzee alijua kila mtu atamuhusudu kama anavyo husudiwa na wengine.

Basi akawa anakuja usawa wangu huku akisema kama kwetu sijafundishwa adabu basi yeye atanifundisha (moyoni nikasema kwa msenge kama wewe ambae sina cha kupoteza naona leo anguko lako limekuja) hapo nikiwa nimevaa six zenye meno ya chuma chini nikawa kama najiweka sawa kwa ajiri ya mapambano nikaona kama amejaa maji hivi akaropoka sikutaki kwenye nyumba yangu nikirudi nisikukute.

Nikasema we mzee hujitambui kwanza hii nyumba tupo kukufariji tu hapa kifupi hapa hamna kitu haya mabanda yako kwetu tumefugia kuku. Watu wakawa kama wamejaa pale nae zoezi alilo jia likawa kama limesitishwa akaondoka na mm nikaendele na ratiba zangu .....

Sikujua kinacho endelea kumbe mzee kaenda kubeba police .....

Inaendelea...
 
Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili nikiendelea kula kitabu na kufurahia maisha ya chuo bila stress na bata za chuo zikiendelea kama kawaida.

Basi nilipanga mtaani kwenye nyumba ambayo ilijengwa na mzee mmoja hivi alimbulika kwa jina la (katili) na huyu mzee alikua ni katili haswa amewanyanyasa sana wanafunzi na kodi yake ulikua hauvushi hata siku mbili ya tatu vyombo vyako vyote vipi nje. Na ukileta mdomo matusi na vibao unapigwa na hauna cha kumfanya alikua ni mjeuri haswa.

ach aujinga sasa inaendelea saa ngapi au unawahi masomo mwanetu😀😀
 
Endelea
 
Basi ile narudi kutoka zoezi nakutana na wadau njiani wanadai mwenye nyumba kaja na police wanatafuta eti nimeleta vurugu na kuleta uharibifu nikawajibu wadau mambo madogo hayo .....wale jamaa waliniangalia na kujiuliza maswali wenyewe walijua nitakimbia lkn ndio hivyo nikaenda kuchukua mazaga ya kula usiku ule na asubuhi nikarudi nikaenda kuoga nikala na kukaa mezani kuendelea kujisomea.

Asubuhi tu police hao na mwenye nyumba wakanisomba hadi kituoni nikachukuliwa maelezo pale nikawekwa selo kwa mara ya kwanza nakutana na walevi wale wanao nuka haswa yaani ukikaa nao hivi hadi kichwa kinauma sijui walibebwa vilabu gani huko hii kitu ilinipa life experience ya ajabu sana . Japo kwa mara ya kwanza niliogopa sana na sikutarajia kama kuna siku nitaingia kwenye vyombo vya kisheria kama hivi halafu kizembe hivi nikapiga moyo konde.

Nikaona baadhi ya wadau wanaazima simu na kuwapigia ndugu zao waje wawawekee mdhamana. Mimi nikasema nimtafute mzee wangu aje nikakumbuka nikiwa darasa la tano mzee alisha wahi tuambia akiitwa shule kwa ajiri ya makosa yetu ya kipumbavu basi kabla hatuja muita tupitie makaburini tukachimbe kabisa makaburi yetu alafu ndio tumfukishie hizo habari za kuitwa shule maana hiyo siku ni siku ya kuua mtu.

Nilivyo kumbuka huo msemo na nikakumbuka kichapo chake aisee moyo ulilia paaa. Saa mbili hiyo naona hakuna kinacho endelea hakuna yule mzee kuja wala mtu yoyote zaidi ya baadhi ya wanafunzi wenzangu wanashangaa tu kilicho tokea na kinacho endelea.

Basi nikiwa ndani nikamuomba afande mmoja wa kike akaja pale kiupole nikamuomba niongee nae private yeye akaropoka afande huyu dogo anataka kunitongoza watu walicheka sana pale hata mimi pia nilicheka maana sikutegemea kama ingekua hivyo

Ila nikamuomba tena akanielewa nika muambia kwa nn unataka uongee na mimi nikamjibu naona wewe ndio unaweza ukanielewa kirahisi. Akasema sawa akazuga kama dakika ishini hivi akaja. Nikamuambia.

"Afande samahani naona wenzangu hapa wanatafuta ndugu zao waje ila kwangu naona nikifanya hivyo hata nyie mtakua kwenye matatizo maana nipo humu ndani sio Kihaki najua hata wale walio kuja kunikamata wamepewa chochote tu ili waje ila naamini wale askali wanawatoto ambao ni wadogo zangu hivyo sitapenda kuleta matatizo makubwa ila naomba uongee nao wamuulize huyu mzee alio watuma kunikamata kama yupo serious na hili basi na mimi nijue napambanaje"

Kwanza afande akaguna nikamuambia nakutegemea dada yangu afande akaondoka pale sijui hata aliwasilianaje na wenzie wakaongea. Baada kama ya saa hivi ilikua kama saa nne hivi kuna afande mwingine akaita jina langu nikatoka nikapewa vitu vyangu nikaambiwa dhamana yangu imesha kamilika nenda kasome hakutaka hata story....

Inaendelea.
 
Chai Jf imejaa sana wana chuo sikuizi
 
"naamini wale askari wana watoto ambao ni wadogo zangu hivyo sitapenda kuleta matatizo makubwa ila naomba uongee nao wamuulize huyu mzee alio watuma kunikamata kama yupo serious na hili basi na mimi nijue napambanaje"

Askari wa Bongo ukionyesha kutoogopa na kuwajibu kishujaa lazima waitane kikao,waoga kinyama.

Dogo siyo mnyonge.
 
"naamini wale askali wanawatoto ambao ni wadogo zangu hivyo sitapenda kuleta matatizo makubwa ila naomba uongee nao wamuulize huyu mzee alio watuma kunikamata kama yupo serious na hili basi na mimi nijue napambanaje"

Askari wa Bongo ukionyesha kutoogopa na kuwajibu kishujaa lazima waitane kikao,waoga kinyama.

Dogo siyo mnyonge.
Point tamu Sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom