Ng....we pita sina mkuki...{nitakao wakwaza samahani}

hii kitu kama hujawah kuonja na umefungwa na imani yako, usiijaribu asilani!! Acha sie tule badala yenu. Na kama kunaadhabu huko (Mbinguni) kwa sababu ya kula hii kitu nipo radhi
 
hii kitu kama hujawah kuonja na umefungwa na imani yako, usiijaribu asilani!! Acha sie tule badala yenu. Na kama kunaadhabu huko (Mbinguni) kwa sababu ya kula hii kitu nipo radhi

Ha!ha!hapo kwenye nyekundu ilo ndo neno langu la kufungia huu uzi hapa jamvini.
 
Aisee mate yananidondoka mno! Mdudu mtamu huyu! Kuna mahala nimetembelea hizi siku mbili, aisee kuna mama wa kihaya anamtengeneza vizuri mno, hadi kula home naona tabu. Acheni tu jamani!
 
Umeona sasa umenifanya nitoroke ofisini...! utajibu wewe.. mie naenda kupata hiyo kitu na grants ndogo then narejea..
haahaha, mkuu mimi nimetoka kupata mida hii hiyo kitu na idadi nyingi ya viroba chapa jogoo!
 
Utafiti unaonesha kadiri unavyozidi kulila ndivyo unavyokaribia kushabihana nalo kisura,na ushahidi wa jamaa zangu watatu wameisha poteza sura zao za asili na sasa wanafanana sana na huyo swine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom