Ng....we pita sina mkuki...{nitakao wakwaza samahani}

Karibu sana mkuu mi nitakuwa pale mida ya 12 jioni nikisubili foleni ipungue pungue na hii hali ya hewa ikiendelea hivi mpaka mida hiyo itakuwa burudani zaidi ya burudani.
daaah aisee kweli mkuu itakua burudani sana!
 
Dah! yaani mpaka mate yamenidondoka!
Nalipenda sana hili jukwaa ukitoka na mahasira yako kwenye siasa unainjoy hapa safi kabisa
 
Kilo 1 ndizi 8!!!DuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuihhhNo ratio

Ha!ha!ha!acha utani kilo 1 ukipata na Ugali yani asikwambie mtu alafu wapite na wale wadada wanaouza matunda mchanganyiko ukishushia haa stress zote za siku kwisha kazi lakini fanya hivyo Nyumbani umeacha mambo safi ukifika unashusia na juice alioandaa Mama watoto safi tayari kwa maandalizi ya siku inayofuata....!!
 
ninyime kila kitu mkuu NAPITA lakini siyo huyo mnyama walaahh!!!!!!!!!!!! lohhhh muumba anatupenda jamani.
 
Last edited by a moderator:
Huku kwetu Morogoro road kuanzia baruti mpaka kibamba karibu kila bar ina duka la kuuza huyu kidume
 
...mdudu ni mtamu sana huyu loh,ngoja nifanye mpango nikamle umenikumbusha mkuu asante....
Aisee mate yananidondoka! Mdudu mtamu huyu! Kuna mahala nimetembelea hizi siku mbili, aisee kuna mama wa kihaya anamtengeneza vizuri mno, hadi kula home naona tabu. Acheni tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom