naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,420
Walio miss Jakaya?
Hahahahaha watu mnavitukoSijui! Mbele yangu yupo Hamorapa anakwenda mwendo wa Supersonic, nikifanikiwa kumkuta nitamuuliza 'tunakimbia nini?'
ipo djmwanga.com mkuuLiweke hapa nalo tulisikilize
Ipo mitandaoni mkuuShusha hapa tulipakuwe!
Na hii ameimba Ney? Kweli ngoma kali sanaRais kapewa rungu....,alisemaga kuna watu watalimia meno....hakuna atakayejifanya ni kisiki au yeye ndio mzizi mkuu...hakuna tuache ubabaishaji. Magufuri gonga kichwani hawa nyoka watanyooka tu, chaguo la Mungu wewe!!!!. Bashite tulia hivyo hivyo mpaka 2020....na Mzee atakupenda, ukibishana utang'olewa meno
Atagonga wangapi mpaka waishe?Rais kapewa rungu....,alisemaga kuna watu watalimia meno....hakuna atakayejifanya ni kisiki au yeye ndio mzizi mkuu...hakuna tuache ubabaishaji. Magufuri gonga kichwani hawa nyoka watanyooka tu, chaguo la Mungu wewe!!!!. Bashite tulia hivyo hivyo mpaka 2020....na Mzee atakupenda, ukibishana utang'olewa meno
Hmm! Ni nyimbo ngapi wameshashughulika nazo hadi sasa? Maskini nchi yangu Tanzania!...Mkuu hiyo nyimbo Basata watashughulika nae. Ni suala la muda tu..
huyo namba 5 kila nikikumbuka nacheka peke yangu...4.Maulid Kitenge
5.Harmo Rapa