Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

Rais kapewa rungu....,alisemaga kuna watu watalimia meno....hakuna atakayejifanya ni kisiki au yeye ndio mzizi mkuu...hakuna tuache ubabaishaji. Magufuri gonga kichwani hawa nyoka watanyooka tu, chaguo la Mungu wewe!!!!. Bashite tulia hivyo hivyo mpaka 2020....na Mzee atakupenda, ukibishana utang'olewa meno
 
Jamaa kanifurahisha alipoanzia kusema

''Sasa wewe ni mtu gani hushauriwi? hukusolewi? umelogwa wewe''.

Kwa kweli Ney wa mitego anastahili tuzo hata kama siyo tuzo rasmi.
 
Rais kapewa rungu....,alisemaga kuna watu watalimia meno....hakuna atakayejifanya ni kisiki au yeye ndio mzizi mkuu...hakuna tuache ubabaishaji. Magufuri gonga kichwani hawa nyoka watanyooka tu, chaguo la Mungu wewe!!!!. Bashite tulia hivyo hivyo mpaka 2020....na Mzee atakupenda, ukibishana utang'olewa meno
Na hii ameimba Ney? Kweli ngoma kali sana
 
Rais kapewa rungu....,alisemaga kuna watu watalimia meno....hakuna atakayejifanya ni kisiki au yeye ndio mzizi mkuu...hakuna tuache ubabaishaji. Magufuri gonga kichwani hawa nyoka watanyooka tu, chaguo la Mungu wewe!!!!. Bashite tulia hivyo hivyo mpaka 2020....na Mzee atakupenda, ukibishana utang'olewa meno
Atagonga wangapi mpaka waishe?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom