Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

Song kali sana haina pinda pinda wala mashairi kama ya Fareedy kubanda AKA Fd Q;hivyo basi usipoelewa sijuiiii.
 
Mkuu hiyo nyimbo Basata watashughulika nae. Ni suala la muda tu..
Iko tayari kwenye simu yangu hakuna Wa kunipangia niwe nini kwenye simu yangu INA ujumbe ambao wachache tumeuelewa bila yoga wowote
 
ili kupunguza hasira weka mstari mmoja wa nyimbo ya Nay Wa mitego WAPO hapo


Wenye maamuzi ya kise____**

Wapooo.

Waliotelewa marinda

Wapooo..



Zero iq
 
Back
Top Bottom