Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

Mbona hata Baghad ameongelea suala la Bunduki? Au wewe hujauskiza vizuri? Mi nadhani Baghdad wimbo ameuandika jumapili usiku, manake hadi neno SISHINIKIZWI amelitaja
baghdad amefichaficha sana ayuko direct ina ney kamwaga wazi kila kitu nyimbo inaomuongelea mkulu..
 
Ninasikiliza Nyimbo mpya hapa ya Nay Wa Mitego ambayo iko YouTube bado haijawa officially released, daaaah Hapa nazid kumuelewa Huyu Jamaa si wa spot spot, Yaan Hana Fear kabisa kwa anachoandika katika kazi zake,

Jaribu u sikiliza YouTube alafu rudi ku share Nasi umeleewa nin kwa huyu Jamaa
 
Jamaa anabebwa na upepo wa promotion(matukio), anaisha kisanii kwa kutegemea matukio ya siasa na wasanii wenzake.
Anaimba TAARAP.
 
Back
Top Bottom