New Release Diamond ft Mr. Flavor

New Release Diamond ft Mr. Flavor

Najutaaaaa kumfahamu huyu kijana sijui anaitwa Domo, Malaya,hakusoma,Limbukeni,Mjinga tu.

Mpaka sasa siamini kama hi video ni yake atakuwa kaiba kwa mtu hii.


EEEE MWENYEZI MUNGU, MPATIE MAISHA MAREFU HUYU KIJANA.. Amen

Better late than never.
Stay blessed
 
Ha haaa ila kiba anatuangusha mzee mwenzangu lazima tupambane domo ndo anatutimulia vumbi hivyo

Kiba anatuumiza sana,mfano mwangalia diamond katoa hii video halafu video nyingine ipo njiani ye na inyanya hapo hapo collabo na psquare.
Kiba akitoa audio video mtasubiri mwaka wakati mwenzake karibia kila mwezi anatoa kitu kipya
 
Hii ndo shooting sio ndugu yenu anatolea shooting sijui bafuni au chooni......
 
nimependa pale anavyocheza sambolo mbele ya gari
 
hahahahahahahahahaaaa usinikumbushe, sio kwa mbwembwe zile, Mungu nae anajua kuumbua vibaya nyieee,???? eti nimekuja kufuta vumbi kiti changu, mxiuuuuu!!! miaka mitatu unaranda randa tu mitaani kama uuubwaaa wa sokoni na kazi ya kuzalisha kila mtaa, nguvu huna akili hunaa, zote umemalizia kwa wanawake, alafu ujilete tuu kirahisi rahisi tuu, kisa umeskia mwenzako kavuka boda, oooh! nimekuja kufuta vumbi, heheheeeiyaaa utaramba vumbi mpaka ujutreeee!

Na wewe hebu punguza kupenda penda basi agggh!! Imekua nongwa??
 
Music biashara bana, Pesa alio iweka kwenye hii video inaonyesha ni jinsi gani Dogo yupo makini na anacho kifanya,


***** zako Platnumz, Unanipa furaha sanaaaa Mtanzania mwenzako,
Much love Chibuuuuuuuuuuuuuu

ha ha ha.........kama RONALDO!
 
Last edited by a moderator:
Kichupa kikali sana na kitafanya vizuri kwenye tv. ......audio asiiachie mapema kwenye radio ili watu waizoee video, maana wimbo sio mzuri kwa hadhi ya diamond.

Audio siku nying mkuu.sema haikuwashika watu km kina kitorondo sjui
 
Nyumbani kwa Bwana Mcharo:

Months.jpg pop2.jpg pop5.jpg pop9.jpg pop10.jpg 12 Months.jpg

Jirani tu hapo, sio mbali wala nini, yaani kwa Majirani wa Bwana Mcharo sasa:

 
Nakupenda/ I Love You Diamond Platnumz ft Iyanya Behind the Scene

<strong><font size="4">
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom