New Release Diamond ft Mr. Flavor

New Release Diamond ft Mr. Flavor

hahaaa silence means YES, wamekubaliiiii, chibu ni fever ya Africa sio bongo tena

ni kweli kabisa,ameshatoka huyu kijana na amefanikiwa,napenda jinsi anavyotuwakilisha kama taifa,tabia zake binafsi hazinihusu.mimi najua kusikiliza na kuangalia good music.
 
Video kali sana viwango vile vile vya kimataifa.. Ila audio big no, katuangusha waafrica.
 
Wapi UNANITAKA njoo basi na leo uje utoe mipovu katika hili...silence means yes mmeelewa eee kwmba mondi ni habari nyengine!yani apa ndo unapozitofautisha kati ya msalaba na kujumlisha hlf kuna ex na kuzidisha...ni checheeer

Amefanya mambo makubwa ambayo sikutegemea kwa kweli,ni muda sasa kwa wasanii wa tanzania kumuangalia diamond kwa jicho la tatu kwa kushirikiananae kwenye collabo ili music wetu ukue badala ya kutoa lugha chafu
 
Video kali sana viwango vile vile vya kimataifa.. Ila audio big no, katuangusha waafrica.

Nimependa wasanii wengine walivyoonekana mle ndani kama Vmoney,Brackett,Iyanya na wengine,imependeza kwa kweli amejitahidi sana.
 
Daaah!!! huu wimbo nilikuwa sijaungalia ila kilichonifanya niuangalie ni baada ya kupita mitaa ya chuo cha ualimu DUCE na kukuta umati mkubwaaa wa wanachuo wakiiangalia hii video,kana kwamba ni lecture flani hivi,daaaah!!! i swear jamaniii Domo kama ni nyota bhasi ana nyota kweeeli,sijawahi kuona kitu cha namna hii,more than 100 people tena intelectual wanagombania kuiangalia hii video...big up kwake inaonyesha how much kijana anakubalika na jinsi gani gani watu walivyokuwa na kiu ya nyimbo zake...Hajawaangusha maana wote walikuwa wana furaha na vistori vya hapa na pale
 
Nimependa wasanii wengine walivyoonekana mle ndani kama Vmoney,Brackett,Iyanya na wengine,imependeza kwa kweli amejitahidi sana.

Kideo hicho kinaweza kuchezwa kwa TV yoyote duniani na mtu akatulia kuiangalia... Ni video kubwa sana sana.
 
Nimependa wasanii wengine walivyoonekana mle ndani kama Vmoney,Brackett,Iyanya na wengine,imependeza kwa kweli amejitahidi sana.

Kideo hicho kinaweza kuchezwa kwa TV yoyote duniani na mtu akatulia kuiangalia... Ni video kubwa sana sana.
 
Chibu ,dangote,platnum,Daimond,Baba princess ni habari nyingineee poleni mtaa wa pilii
 
kwanza moti moti motiii sikikiaaa, mwanzo nashitua kijotii naumiaaaa, moyo wangu tiih tiih tiih unakimbiaaa,,, uoga wa manoti notiii nahofiaaa,,,, Oooooh! usije niacha ka naniii, ntaumia sana,,,, oooh honey utaniumiza na ntachekwa mtaani ntalia mama......
Katisha kwa video namkumbali sana
 
Diamond-plat.jpg
YOUTUBE
 
hii ni kwa sababu mpaka leo imekuwa ngumu kwake kutofautisha + na × , anasubiri kipaji na ile sauti inayotokeaga puani kama demu mwenye mafua vimuwakilishe.

King kiba namkubali tatizo ukimya wako ndo unachosha
 
Ni kama ameishiwa na idea za video, ukiiona hy video unahisi kama ulishaiona kwenye nyimbo yake nyingine
 
Video nzuri, ila sijaelewa alichoimba kiukweli
Yani ata ile nana n sankoro hhujaelewa mkuu!na pale usije kuniacha km nanii ntaumiaa na tukipata baga tutakula tukikosa tutalalagaa...au mkuu unackilizia kw kutumia kiungo gn cha mwili?
 
Back
Top Bottom