Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
kujua kama nguchirrro wamo wanapishana humu ndani kama siafu, ngoja ajitolee mmoja wao aiponde hii video, utawaona watakavyojazana hapo na likes zao yani huwa nachekaga mpaka mbavu zinauma, stress ugonjwa ubaya sana, hivi ilikuwaje Mungu ananipendelea uwezo wa kujua vitu vitamu hivi??? kwi kwi kwi kwiiiiii. I LOVE U DIAMOND U ARE MY HEROOOOOOOOOOOOOOO