Better late than never.
Washtue
na wenzio
Frankly speaking!! Yaa Kawaidaaa sanaa tena Sana naweza kusema NITAMPATA WAPI that video is super hot than this one! Kwa sababu hii kuu
1. sauti imemezwaa na beat ya nahrel. 2. Amejitahid kufanya combination ya masta mbalimbali ili iwe inavutia ila kwa uhalisia ni Normal thing nothing Big.
3. Ubunifu Wa mashairii unazidii kupungua sijui inakuajee.
Note:this are my opinion sina team please, naongea nachokionaa na ninavyomjuaa.
utumbo mtupu wimbo wa ovyo kabisa
hahahaaaa eti kibakuli, sio kibagiaaa í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚
Kanye hukooo.. Inaonekana kina kubana sana
Mastaa mbali mbali kwani wameimba si wametokea visekunde wanadansi tu.
Unataka waimbeeeeee then mtasema hakuna beats
Mwacheni atanue kama ya kawaida kwako kwa mTZ haya weeee uamuzi wako jipigie makofi.
Jaribuu Sana kuheshimu mawazo yangu, halafuu usitaki niaminii kile unachokiaminii wewe, na usitake kunikandamizaa kwa maneno yakuudhi kwenye mawazo yangu,
Kama unaona kunasehem nimekoseaa jaribuu kunifafanulia kwa hoja za msingi zitakacho nivutia ili niweze kumkubali kama unavyotaka wewe.
ha ha ha akimaliza kutunga UZI aje aone SINDANO hapateh teh mwl mwanafunzi wako lukelo sakafu atak uwa anatunga uzi
jamaa kila siku anatupa sababu ya kuzidi kumkubaliNa hivi wimbo wenyewe unachezeka hivi, ni shidaa si kidogo kwa wabongo
Huyo mrembo kwenye video ntapataje namba zake?