New Release Diamond ft Mr. Flavor

New Release Diamond ft Mr. Flavor

Kwanza ni nadclare interest mimi ni TeamKiba Damu damu.

Nipo safarini network inasumbua lakini nimejaribu kuipitia kidogo ila kiukwel huu wimbo ni mkali kuanzia Audio mpaka video, lakini ngoja kwanza badae nitaipitia tena vizuri ili nibaini mapungufu yake maana nimeona jamaa kacope script nyingi za wimbo wake wa moyo wangu kitu ambacho kineondoa radha nzima ya hii video yani kama mtu umewahi kuona video ya Diamond moyo wangu basi ukiona hii utakeleka sana maana ni cppy and paste, pia mr.flavor kambeba sana diamond yani kama bila mr.flavor basi sijui huu wimbo ungeishiwa kuchezwa bar tu na uswahilini.

Lastly, ila haka kajamaa kidogo kanajua mziki japo bado sana kumfikia kingKiba for real, maana kwa mziki huu wa kubebwa na davido mara mr.flavor basi diamond kumfikia kingkiba ni miaka 1000.

#KINGKIBAFOREVER

Better late than never.
Washtue
na wenzio
 
Ha haaa ila kiba anatuangusha mzee mwenzangu lazima tupambane domo ndo anatutimulia vumbi hivyo
 
Kawaida tu hakuna jipya. Ktk nyimbo itakayopotea haraka masikioni ni hii mnayosifia. Mnatakiwa mseme ukweli sio kusifia tu kisa team.

kama ni kijana lazima utakuwa Teja la Unga kama ni Mzee ww ni Mchawi tena wa uswahilini kabisa

na usipoangalia kuna siku utakuja mkataa hata mama yako aliekuzaa!

Chuki gani hzo
 
Diamond kamaliza kazi. Sasa nani tena anayeitwa mpinzani hapa?

Safii Diamond umetisha, yule bint mchawi pamoja na kuitwa huku kashindwa kutia timu. Yupo kule kwenye gofu lao anamwaga matusi. Poleni mtaa uleee.
 
Frankly speaking!! Yaa Kawaidaaa sanaa tena Sana naweza kusema NITAMPATA WAPI that video is super hot than this one! Kwa sababu hii kuu

1. sauti imemezwaa na beat ya nahrel. 2. Amejitahid kufanya combination ya masta mbalimbali ili iwe inavutia ila kwa uhalisia ni Normal thing nothing Big.
3. Ubunifu Wa mashairii unazidii kupungua sijui inakuajee.

Note:this are my opinion sina team please, naongea nachokionaa na ninavyomjuaa.
 
Sawa but wanao jua muziki wanazidi kutoa credit kwa chibu!
 
Yaani wa TZ wengine wa ajabu instagram wameenda kuchakachua video itoke vibaya sana halafu ndio wanarushia wanaowafuata wa kuangalia sekunde 15 kuwa ndivyo ilivyo kweli watajaribu bali wanajua hawamuwezi hiyo ni team upu.pu na wenzao.
 
Frankly speaking!! Yaa Kawaidaaa sanaa tena Sana naweza kusema NITAMPATA WAPI that video is super hot than this one! Kwa sababu hii kuu

1. sauti imemezwaa na beat ya nahrel. 2. Amejitahid kufanya combination ya masta mbalimbali ili iwe inavutia ila kwa uhalisia ni Normal thing nothing Big.
3. Ubunifu Wa mashairii unazidii kupungua sijui inakuajee.

Note:this are my opinion sina team please, naongea nachokionaa na ninavyomjuaa.

Mastaa mbali mbali kwani wameimba si wametokea visekunde wanadansi tu.

Unataka waimbeeeeee then mtasema hakuna beats

Mwacheni atanue kama ya kawaida kwako kwa mTZ haya weeee uamuzi wako jipigie makofi.
 
Back
Top Bottom