Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,788
- 168,141
Kwa juhudi hizo nadhani hata haters wanapungua make lazma wakubali tu kwani hamna namna ha ha haHuyu jamaa atachukua tuzo mpaka tutaomba poo.Huu ubunifu sijawahi ona.Mtu anakimbiza tangu mwanZo mpaka mwisho.It's amazing.