New Release Diamond ft Mr. Flavor

New Release Diamond ft Mr. Flavor

Ahsante sana mkuu. Better late than never..

sawa lakini hiyo haimaanishi Kiba mbovu ingawa ana matatizo yake yanayotukwaza sisi mashabiki wake!mi sio shabiki maandazi!!domo yuko juu kikukweli hata the way anavofanya kazi unaona kabisa huyu sasa anahama hizi level za kibongo bongo!... nikuambie kitu?? wakati domo anavuka boda kufanya shooting kali kama hizo, Leo Kiba alikua pale viwanja vya benjamini Mkapa anacheza ndondo na watoto wa mtaani!!... kaniboa kweli huyu jamaa leo!! upo bize na ndondo halafu unataka kupambana na domo kwenye mziki??
 
Kiba angepata mashabiki watano kama wewe hakika kungekua na ushindani hasa. Cha ajabu kazungukwa na mashabiki maandazi
 
Kumchukia Diamond kwa sasa Sawa na kujipunguzia siku za kuishi.

Najisikia furaha sana kuwa sehemu ya kizazi cha Tanzania kilichoshudia Mwanamziki wa Kitanzania akitikisa Africa.

Wakati wenzetu walishuhudia Taifa Stars ikicheza mataifa huru Nigeria mwaka 1980, sisi tunashudia kijana wetu akitingisha Africa.

Ningependa Kiba awe Diamond wa pili aachane na Team za Kijinga aanze kufanya mziki biashara sio furahisha genge.

Kiba Anza kuangalia mbele, la sivyo akina Wanjera watakupita hapo hapo na tuzo zako za kupendwa.!
 
nifah diva mnaweza kutoa comment kuhusu hii video.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom