Ila huyu jamaa mimi nilistukia kitambo hiyo kitu anakula......
katoto kenyewe bado kabichi ukikaosha vizuri kanang'aa
hii ni sawa na kuokota dodo chini ya mti.....
hata ningekuwa mm ningekala
Yani niache katoto kabichi hako!!???
That is abomination repugnant to justice and morality
Ni kama Cindy na Mopawo,ukiangalia picha za mwanzo za Cindy akiwa na Fally Ipupa hapo ndio utaona maajabu ya mapenzi,kwa Cindy papa Mopao kafa.Cindy ndie alimfanya Mopawo ampige mateke mcheza shoo wake pale Nairobi
 
Hyo siri ya kambi!yawezekana kabisaa

Ila mziki wa bongo ukiwa binti inabidi utoe sana mbunye,maana Nandera alikua na jasiri,kabla akina mwasiti wote kushine kule mwanzoni walikua wanaliwa,Ray C mpk aligombana na Zama,Jide ndo enzi hizo it was history walienda south wakalala room moja jasiri na jide habari zikafika bongo!!!

Queen alikua anadate na mzee wa yoo!
Zuchura nae kaona bora ajiongeze la sivyo atachunda buree!
jiji zito hili mweeeh.
 
Ni kama Cindy na Mopawo,ukiangalia picha za mwanzo za Cindy akiwa na Fally Ipupa hapo ndio utaona maajabu ya mapenzi,kwa Cindy papa Mopao kafa.Cindy ndie alimfanya Mopawo ampige mateke mcheza shoo wake pale Nairobi
Cindy alifanya nini mpk mitama ikatamalaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom