reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,303
- Thread starter
- #301
HahahahaLina machata
Hamisa
Wema
Zarina
Aliyah




khaaa wema wa zamani au wa sasa?Kishkaji sio haaahaahammecheka mtoe zuchu;!!yaani hua nasoma mwandiko wako kishkaji vile!!


Safi sana...mikato ya kijanjaSiyo wewe ila mikato mnafanana!!kino sio!!eehh
HahahahaWee!muulize price shoooo!!!anajua mziki wake!
Mobero atajua mwenyewe!wake!kashaliwa na rosay imelala yooo!!imebaki story!
Hivo hebu ngoja niingie sasa hiviIngia kwa website haina shida achana na app mama
Wa zamani kipindi ni Tz Sweetheart.khaaa wema wa zamani au wa sasa?
Mzigua umeniacha hoi
Apambane na Mnyaki kidogo
Not reallyMmmmh....ulishawahi muona live?![]()
Wa zamani kipindi ni Tz Sweetheart.
Halafu mbona dada enu anatutishia na breaking news ambazo tulishaziona miezi ya nyuma?
Da Mange wa Uturn na huyu wa sasa hivi tofauti. Huyu wa sasa hana story anachukha za wenzie anazibreakisha
Cc Dinazarde


Tulia tuuu mambo yatakujaaa![]()









. Sawaaa acha tuone kama tutarudi Enzi za UturnDada bakisha na akiba ya manenoTrust me hii ni kiki, diamond ana mapungufu mengi ila kwa kuchagua wanawake wenye sura nzuri na shape hajambo.
Zuchu sura hana ,shape hana hapana hii ni kiki diamond kaipanga.
Hamonise ka trend sana, sasa kaona atafute kiki aongelewe.
Kuna mtu anakubali ukweli huu?
Nimecheka kwa sauti, kwamba wasanii hawatabiriki?Dada bakisha na akiba ya maneno
.
Shogaangu!sio wa kuwaamini kabisaaa....kumbuka dogo janja na uwoya tulijua Kiki😁Nimecheka kwa sauti, kwamba wasanii hawatabiriki?
Pesa pesa pesa reymageKabisaa yaani akibeba mimba imekuba kwake mazima!atajuta kuzaliwa na ataona rangi zote!
Yaani Zuchu na akifanya masikhara mziki utaishia hapo!!
Hajajifunza yule kaka sijui ana nini maana sio kwa wanawake kujilengesha hukoo!!!
Pale zuchu anakimbilia pesa Sio diamond carihaHatari sana, sema wanawake huwa hatusikii mpaka yatukute makubwa, Yani wanaume malaya wadada ndio huwakimbilia
Dogo janja alikuwa kivuli, kuna mkubwa alikuwa akila kwa siri , jajaro analipwaShogaangu!sio wa kuwaamini kabisaaa....kumbuka dogo janja na uwoya tulijua Kiki😁