luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Subiri utaona mwisho waoSimba akizidiwa hata majani hulaa...ingawa Zuchu yupo yupo tu!ila kibongobongo yule anaweza akamla ,fisi yulee
!!
Unajua mpk wamegombana na yule binti mtangazaji ingekua Kik wasingegombana na gari kapokwa!








makaveli uko vzr sana,baasi alikua na wapinzani wawili huyo wa achia ngazi,na mwingine mule ndani ya bendi yao wenyewe aliimbaga Kijeba