reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
- Thread starter
- #261
Kimnana midomo inamuangusha...mikubwa, minene ila mzuri
Shangazi anataka kuwa kama rubii, anataka kuwa mdogo mdogo waendane na kusah
Ila mademu wa kibongo jau sana aagh![]()


shangazi alisemaga atafanya tu sajari ya tumbo!anataka avae vipanchunchu!!amkomesha mama Nonoo!!!









