New Boko Haram video emerged

New Boko Haram video emerged

Hizi dini nyingine bwana,mara boko haram mara alkaida mara cjui nini.. Tumechokaaa kwanini hamjiamini?? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hujiamini wewe mwenye chuki dhidi ya uislam kichwa mchunga i mean bila kushughulisha fikra na akili zako.ingia google pitia Jihad and Terrorism uone kama uislam una mahusiano yeyote na huo uitwao ugaidi.
Acha upimbi wewe kasome huo uislam vyema kenge wewe...ALLAH ANAJISIFU KUWA MWONGO ALIYEPINDUKIA NA UGAIDI NDIO UMEWAPA USHINDI..wewe si kenge wa kwanza asiyejua uislam na mwenye majigambo kuwa anjua dini....tafura we have made victor by terror uone utapana nini na nini..?ndio maaa mpo kimya hamthubutu wakemea magaidi kwa kuchafua dini ..kazi ni kuwanyamazisha waliochoshwa na huo ugaidi wenu..kenge wewe..hata wewe kuchangia upotoshaji ni ugaidi kwa vipimo vya uislam..kuwaahadaa akafiri ili wasiwe pamoja huku magaidi wa kumwaga damuw akichanja mbuga ni dhawabu ktk uislam..vipi UONGO MTAKATIFU UMEISHIA WAPI?
 
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo

1. Je, ni kweli wasichana hao wamesilimu kwa hiari yao?
2. Au ndio ile dhana ya dini ya ncha ya upanga imerudi!?
=========================================================


Chanzo:BBC

Kumbe waliwateka ili wenzao waachiwe huru? na si kwa ajili ya kuwauza?

Hao ni POW.

Kimenuka!
 
Unataka kusema nini hapo? Kwani kuna ajabu Osama kufa ? Kweli makafiri mmelewa na hii dunia na ndo mana hata kifo mnakiogopa.Waislam tunajua kila nafsi itakufa na kwa Allah tutarudi. Na mwenye kuipigania dini ya Allah ndo mwenye heshima zaid kwake.

pole. tena pole sana.
hamuogopi kifo kwa kujitoa muhanga?
hata elimu ya dunia haiwasaidii
 
Acha upimbi wewe kasome huo uislam vyema kenge wewe...ALLAH ANAJISIFU KUWA MWONGO ALIYEPINDUKIA NA UGAIDI NDIO UMEWAPA USHINDI..wewe si kenge wa kwanza asiyejua uislam na mwenye majigambo kuwa anjua dini....tafura we have made victor by terror uone utapana nini na nini..?ndio maaa mpo kimya hamthubutu wakemea magaidi kwa kuchafua dini ..kazi ni kuwanyamazisha waliochoshwa na huo ugaidi wenu..kenge wewe..hata wewe kuchangia upotoshaji ni ugaidi kwa vipimo vya uislam..kuwaahadaa akafiri ili wasiwe pamoja huku magaidi wa kumwaga damuw akichanja mbuga ni dhawabu ktk uislam..vipi UONGO MTAKATIFU UMEISHIA WAPI?

Pumba as usually.
 
Kawaulize wenzenu wa palestina wao ndio watakupa jibu sahihi kabisa.

Ungelielezea tu Wapalestina wana nini? Sina haja ya kwenda kuwauliza wao. annabrenda (myahudi mweusi) Miafrika ndivyo ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kama boko haram hawapo financed na mataifa ya magharibi, basi wa kutatua huu mgogoro ni serikali ya Nigeria peke yake.
Otherwise ni sinema zile zile kama za September11 na Westgate.
 
Unajikomba kwa saudi arabia? Mbona hao ni madhalimu wenzenu zaman sana.Nambona tushawatangazia vita zaman hao
Mkuu subirini kichapo,sasa mbona mnajikomba kuanza kujipendekeza kuanzisha mazungumzo,ooh,tubadilishane! endeleeni kuwaficha moto unawafuata huko vichakani,kama mmezoea kuao bila kutoa mahari sasa hii itawatokea puani,bila kujali kwamba mnamfuiata jamaa yenu aliyeoa mtoto wa miaka 9 wala nini.Kama mkuu wenu osama alikutwa kama kinda la njiwa hao boko haram ni nini bwana?
 
Vitabu vya mungu tunavisoma lakini hatuvielewi kilichoandikwa ndio maana yanatokea haya,kama vitabu vya mungu vingeeleweka haya ya mabinti wala yasingetokea inasikitisha sana na kuumiza sana,kama ww unayesoma huu uzi una utimamu wa akili itakusononesha sana na utajiuliza kwann mabinti??? Tunashindwa kutafakari vitabu vya dini inavyopaswa tunasoma juu juu na hatutafakari kwa kina matokeo dini zinatumika vibaya sana,

Kwa waislam na dini zingine vitabu vya dini c vitabu vya hadithi za kawaida vinahitaji heshima yake tunajidanganya sana na mwisho wake hujuta.

Eee mungu wasaidie hao watekaji wawe na akili zao timamu kutambua kuwa dini c igizo.
 
Ndugu yangu unapoamua kusema kitu au kuposti jambo kama hili kwanza naomba ulifanyie uchunguzi usikurupuke.

Hao waliomfanyia huyo mwanamke sio boko haramu usieasingizie na huyo aliepigwa mawe hio ilikua ni bora kwa kosa alilolifanya na ndio hakali kwake na hakuonewa nami naunga mkono hao boko haramu ni waislamu na km wamemuuwa mwanamke basi na huyo mwanamke ni muislamu mwenziwao

Kuna aya za kuruani katika hio video zinasomwa na kujirejea rejea unazijua maana yake tafsi yake iko hivi mungu alietuumba anasema:- " msikaribie zina hakika ya zina ni uchafu na mtakopomshuhudia mtu kazini akiwa mwanamke ama mwanamme na bado hajaolewa basi wapigeni bakora mia kila mmoja na usikuingieni imani kwao kwa kuacha kutekeleza amri ya mungu na kama 1 au wote wameshawahi kuingia katika ndoa basi wapigeni mawe hadi kufa kwao"

Unapohukumiwa adhabu hii na walimwengu wenzio basi kwa mungu hutohukumiwa na kuulizwa kwa dhambi hio ila utahukumiwa kwa dhambi nyengine.

Na mtu ili ahukumiwe kupigwa mikwajua au mawe lazima ashuhudiwe na watu 4 waliokua na akili timamau ama akiri kwa mdomo wake kua amezini ndio ahukumiwe tena akiri mara 4 kua amefanya

Makafiri hawahusiki na adhabu hii ni kwa waumini tuuu (WAISLAMU)

Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app

[h=2]Break with Elijah Muhammad[/h]Philosophical differences with King were one thing; a rupture with Elijah Muhammad proved much more traumatic. In 1963, Malcolm X became deeply disillusioned when he learned that his hero and mentor had violated many of his own teachings, most flagrantly by carrying on many extramarital affairs; Muhammad had, in fact, fathered several children out of wedlock. Malcolm's feelings of betrayal, combined with Muhammad's anger over Malcolm's insensitive comments regarding the assassination of President John F. Kennedy, led Malcolm X to leave the Nation of Islam in 1964.
That same year, Malcolm X embarked on an extended trip through North Africa and the Middle East. The journey proved to be both a political and spiritual turning point in his life. He learned to place the American Civil Rights Movement within the context of a global anti-colonial struggle, embracing socialism and pan-Africanism. Malcolm X also made the Hajj, the traditional Muslim pilgrimage to Mecca, Saudi Arabia, during which he converted to traditional Islam and again changed his name, this time to El-Hajj Malik El-Shabazz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom