Haya sasa! Hawa Boko Haram kama wana ubavu si wahamie CAR ili tuone kama wanaweza mziki wa huko?
kaka inaelekea unapenda kweli u reporter, hii mbona kila mtu kaona kwenye vituo vya habari vya kimataifa ama ndo ushabiki mandazi?
Weye muandishi na kitaaluma chako wataka tuaminisha kuwa hujui ni picha/ imani/ lengo gani latakiwa kwendelea ziharibu nchi kupitia vita vya kidini ......!?
Hapo MAKAFIRI pia wamo wangi mno tena wanazidi WAISLAAMU, si mageni kwa wenye kijitambua.
Hiyo ni sawa na Story ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ila sasa ukweli wake wananchi na wapenda amani bila kusahau mabadiliko wameanza kuufichua UKWELI ulokuwa umefichwa muda wa myaka takriban 50.
Na ntarejea ....
i hate Islamic
God bless these innocent girls