Ndugu yangu unapoamua kusema kitu au kuposti jambo kama hili kwanza naomba ulifanyie uchunguzi usikurupuke.
Hao waliomfanyia huyo mwanamke sio boko haramu usieasingizie na huyo aliepigwa mawe hio ilikua ni bora kwa kosa alilolifanya na ndio hakali kwake na hakuonewa nami naunga mkono hao boko haramu ni waislamu na km wamemuuwa mwanamke basi na huyo mwanamke ni muislamu mwenziwao
Kuna aya za kuruani katika hio video zinasomwa na kujirejea rejea unazijua maana yake tafsi yake iko hivi mungu alietuumba anasema:- " msikaribie zina hakika ya zina ni uchafu na mtakopomshuhudia mtu kazini akiwa mwanamke ama mwanamme na bado hajaolewa basi wapigeni bakora mia kila mmoja na usikuingieni imani kwao kwa kuacha kutekeleza amri ya mungu na kama 1 au wote wameshawahi kuingia katika ndoa basi wapigeni mawe hadi kufa kwao"
Unapohukumiwa adhabu hii na walimwengu wenzio basi kwa mungu hutohukumiwa na kuulizwa kwa dhambi hio ila utahukumiwa kwa dhambi nyengine.
Na mtu ili ahukumiwe kupigwa mikwajua au mawe lazima ashuhudiwe na watu 4 waliokua na akili timamau ama akiri kwa mdomo wake kua amezini ndio ahukumiwe tena akiri mara 4 kua amefanya
Makafiri hawahusiki na adhabu hii ni kwa waumini tuuu (WAISLAMU)
Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
matukio km haya yapo nchi zote zinazojiita za kiislam..pakistani kuambiwa wana kichaa..km ni mwanamume anaadhibiwa n akuwekwa ndani akipewa muda wa kurudia dini akibisha ni kifo,mwanamke huwa anawahishwa haraka sana.Misri hawabadili kitambulisho wala jina.Hata kujenga makanisa lazima kibali..hata kama kanisa wamebomoa waislam kwa visingizio vya kitoto km kile cha mtoto kukojolea kuran....na kibali hukataliwa tolewa.Hata kukarabaki Kanisa ni kibali..lengo ni kuhakikisha makanisa yanaisha na ama kwa kubomoka kabisa au kuyabomoa.....haafu bado wanajisifu kuwa dini yao inakuwa haraka sana....ila mbinu zao na watu wanaowapata hawaangalii hilo.
Worse hata huo usafi wa mwili si kihivyo..hujawahi sikiwa kipindupindu kimeshamiri Uswazi...?huko uswazi unajua waswazi wengi ni nani....?Hata masai wenyewe na kunywa maji ya ng`ombe hawana kipindupindu...ni vikopo vyao na vyoo vyao na kushika sana mavi kwa maji kidogo halafu kushika milango,kushika wengine mikono,kula na mikono,kulambisha wengine mikono km dini inavyowaambia..wakati hiyo mikono haijaoshwa kwa sabuni maalumu na maji ya kutosha.Mimi uwa nashangaa dini gani watu wanalazimishwa?hawajui kuabudu lazima roho iwe tayari na sio mwili.Uislam ume base kwenye matendo ya mwili na usafi wa mwili kuliko roho ndo maana utaona mtu ananawa kabla ya kuingia msikitini ili mwili uwe safi ata kama katoka kuua mtu.Mmewahi kujiuliza kwanini maiti uwa inakamuliwa na maji yanapoenda baada ya kuosha maiti???