Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Mungu awasamehe
So many evils are done in the name of God.mnafiki mkubwa wewe. unatetea watu kupigwa mawe hadi kufa?? huyo Mungu wenu kama ndio anafundisha hivyo ni heri kusiwe na Mungu. watu na akili zenu mnafundishwa kubehave kama mbuzi.
Ndugu yangu unapoamua kusema kitu au kuposti jambo kama hili kwanza naomba ulifanyie uchunguzi usikurupuke.
Hao waliomfanyia huyo mwanamke sio boko haramu usieasingizie na huyo aliepigwa mawe hio ilikua ni bora kwa kosa alilolifanya na ndio hakali kwake na hakuonewa nami naunga mkono hao boko haramu ni waislamu na km wamemuuwa mwanamke basi na huyo mwanamke ni muislamu mwenziwao
Kuna aya za kuruani katika hio video zinasomwa na kujirejea rejea unazijua maana yake tafsi yake iko hivi mungu alietuumba anasema:- " msikaribie zina hakika ya zina ni uchafu na mtakopomshuhudia mtu kazini akiwa mwanamke ama mwanamme na bado hajaolewa basi wapigeni bakora mia kila mmoja na usikuingieni imani kwao kwa kuacha kutekeleza amri ya mungu na kama 1 au wote wameshawahi kuingia katika ndoa basi wapigeni mawe hadi kufa kwao"
Unapohukumiwa adhabu hii na walimwengu wenzio basi kwa mungu hutohukumiwa na kuulizwa kwa dhambi hio ila utahukumiwa kwa dhambi nyengine.
Na mtu ili ahukumiwe kupigwa mikwajua au mawe lazima ashuhudiwe na watu 4 waliokua na akili timamau ama akiri kwa mdomo wake kua amezini ndio ahukumiwe tena akiri mara 4 kua amefanya
Makafiri hawahusiki na adhabu hii ni kwa waumini tuuu (WAISLAMU)
Sent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
Wafahamu Mwamedi alisema nini kuhusu Kafiri? yule anayemuita mwenzie kafiri ndie kafiri... Waislam wanaabudu Mungu Mwezi nadhani ndio haswa wahusika mwamedi alicheza mchezo mchafu kuwatega waumini ni trick za shetani tu
Chanzo:BBC
![]()
![]()
Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo.
Walitekwa nyara kutoka katika shule yao mjini Chibok, Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo
Rais wa Ufaransa amejitolea kuwa mwenyeji wa mkutano utakaotafuta njia za kupambana na Boko Haram
.![]()
Ni heri kama wako salama tu,
Maswali yako hayana maana yeyote tunachoangalia na kutamani ni kuona hao mabinti wanaachiwa wakiwa salamaKiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo
1. Je, ni kweli wasichana hao wamesilimu kwa hiari yao?
2. Au ndio ile dhana ya dini ya ncha ya upanga imerudi!?
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo
1. Je, ni kweli wasichana hao wamesilimu kwa hiari yao?
2. Au ndio ile dhana ya dini ya ncha ya upanga imerudi!?
israel itawaleta muda mfupi tuuu tutulie