SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,845
Kuwa hai si kuwa salama......watott wale wamebakwa sana!
Thibitisha kua wamebakwa
Kuwa hai si kuwa salama......watott wale wamebakwa sana!
tatizo unasema kwa ushabiki.hao waisrael wameingia leo.suala la kubadilisha na wafungwa wa boko lipo tangu juzi,unabisha sema nikupe link.Kwanini magaidi wakisikia MOSSAD wameingia mahali wanatishika sana?sasa hivi wanataka kubadilishana mateka wakati mara ya kwanza walisema wanawauza
sifikirii kama wataua wamefanyiwa hivyo labda mmoja au wawiwli lakini sidhani kama itakua imetokea kufanyiwa mass rap. itakua ni unyama wa aina yake kabisa
mara chache sana watekwaji wa aina hii kuuwawa kirahisi, watekaji wanakuwa wanalenga kudai mambo fulani fulani.
Mabikira 72 wanawahusu Boko haram.
Kwa hy sasa wanaamini jua linazama kwenye tope jioni
Yaani hawa boko ni wapuuzi sana. Inashangaza kuona wana hadi mafundi wa makanzu huko huko maporini. Jwtz wasaidie hawa watoto.
Hata sura yako imekaa kubakabaka tu lione kwanza... badala ya kuwaombea heri unawaombae shari?Kama watekaji walisema kuwa "watawauza" watashindwa nini kuwabaka?
Shekau is really crazy.
Hata kama wameslim si kwa matakwa yao bali kwa kulazimishwa
Hata sura yako imekaa kubakabaka tu lione kwanza... badala ya kuwaombea heri unawaombae shari?
Mungu ibaliki TANZANIA