New Boko Haram video emerged

New Boko Haram video emerged

Jamni Mi naomba waisilam mtuambie kwa mijibu wa dini yenu je walivyofanya boko haramu ni sahihi au si sahihi...tusaidieni kidogo juu ya hili ndugu zetu...

Waulizeni hao boko haram wenyewe mana na wao ni waislam, sisi hamtotuelewa.
 
Hata wakiwaachia natamani wembe uliomnyoa osama bin laden usiache kupita kichwani mwa boko haram
hao mabinti wakiisha achiwa utaona masimulizi yao yatakavyotia simanzi.Nchi zote zilizotoa matamko ikiwemo saudi arabia
zichukue hatua za dhati kuangamiza makundi maovu kama hili.

Unajikomba kwa saudi arabia? Mbona hao ni madhalimu wenzenu zaman sana.Nambona tushawatangazia vita zaman hao
 
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo

1. Je, ni kweli wasichana hao wamesilimu kwa hiari yao?
2. Au ndio ile dhana ya dini ya ncha ya upanga imerudi!?
=========================================================


Chanzo:BBC
Huyu Shekhau ni msambaa nini??maana majina yao huanza na She..
 
Na wewe utakuwa PRIMITIVE and You believe in Backwards like Boko Haram? Yaani una amani kwamba hao wasichana hawajatekwa na Boko Haram na kwamba ni conspiracy ya western media kuuchafua uislamu? Very funny in deed! bado unaamini kwamba Osama bin Laden yuko hai? Hapo ndiyo huwa Waislamu mnanichoshwa. Muslim terrorists huwa wanatetewa na waislamu kwa kutafuta excuse badala ya condemn their evil act. Lakini kakichorwa tu ka cartoon kama Mohammed (no offense intended) Waislamu dunia nzima wanalipuka. Kama mngekuwa mnatumia hata 1/4 ya effort kupinga huu ugaindi unaofanya kwa mwamvuli wa uislamu, kama mnavyopinga vika cartoon vya Mohammed dunia hii ingekuwa mahala salama pa kuishi. All my prayers all with that young innocent girls.

Unataka kusema nini hapo? Kwani kuna ajabu Osama kufa ? Kweli makafiri mmelewa na hii dunia na ndo mana hata kifo mnakiogopa.Waislam tunajua kila nafsi itakufa na kwa Allah tutarudi. Na mwenye kuipigania dini ya Allah ndo mwenye heshima zaid kwake.
 
wakati manalazimishwa ulikuwepo? Au tupe chanzo cha habari yako.
Msiwe wapumbavu ...kwani km uislam ungekuwa na mvuto si wangesilimu kabla ya kutekwa na boko haramu..sasa utasikia jinsi watakavyoudhalilisha uislam wakiachiwa.....hizo ndizo miracles za allah..kwa wanawake waliotekwa nao waukumbatia uislam.Kweli imani za kishetani ni shida..huwa bila aibu mnajisifu kuwa mateka wameukubali uislam..
 
Hizi dini nyingine bwana,mara boko haram mara alkaida mara cjui nini.. Tumechokaaa kwanini hamjiamini??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hujiamini wewe mwenye chuki dhidi ya uislam kichwa mchunga i mean bila kushughulisha fikra na akili zako.ingia google pitia Jihad and Terrorism uone kama uislam una mahusiano yeyote na huo uitwao ugaidi.
 
Unataka kusema nini hapo? Kwani kuna ajabu Osama kufa ? Kweli makafiri mmelewa na hii dunia na ndo mana hata kifo mnakiogopa.Waislam tunajua kila nafsi itakufa na kwa Allah tutarudi. Na mwenye kuipigania dini ya Allah ndo mwenye heshima zaid kwake.

Na pia nasikia uwa kuna mabikra 72 pamoja na mto wenye mvinyo,hivi ni kweli hayo???
 

Attachments

  • 1399925244470.jpg
    1399925244470.jpg
    14.9 KB · Views: 179
Shida iliyopo hapa kila mtu anatetea upande wake, Inaeleweka wazi kabisa kuwahusisha wanawake na watoto kwenye vita na dhambi kwa Mwenyezi MUNGU lakini watu wanatetea tu eti kisa wa dini yao! UJINGA ULIOJE!
 
Vipi mkuu Elungata
Umekubali kwamba kweli hao wadada walitekwa na book-haram?
Nakumbuka kama wewe na FaizaFoxy mlikuwa mnatoa habari za kukanusha, ya kwmba utekaji huu haujafanyika..
sijawahi sema hawakutekwa,nilisema kuna kitu hakiko sawa.
 
Last edited by a moderator:
Shida iliyopo hapa kila mtu anatetea upande wake, Inaeleweka wazi kabisa kuwahusisha wanawake na watoto kwenye vita na dhambi kwa Mwenyezi MUNGU lakini watu wanatetea tu eti kisa wa dini yao! UJINGA ULIOJE!
weka aya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom