Si wanaambiwa wanandoa au??
Hoja zako mkuu lakini ni Nyepesi mno Na zinaondoka nje ya maada..
Unaposight Kwamba Aziniye Na Mwanamke Hana Akili kabisa umeongelea upande mmoja, sikupingi. Lakini kimachoniuma sana ni watu wengi hufungua maandiko yanayowapa faraja na kinga binafsi Na kuacha ombwe la mafurushi ya madhaifu yao.. Kama unalitumia NENO La Mungu litumie Kwa Haki.. Fanya majukumu yako uliyoagizwa 100% . Mtu uko bize Na madudedude mengine, mkorofi, ukiguswa umechoka, hata mumeo akikuandikia SMS hujibu you don't care at all, unademand tu mambo makibwaa Na Ndo stand yako everyday.. Kisha Mtu akipiga nje unachomoa kaandiko Ka kujidefend.. NASEMA usimdhihaki BWANA Mungu wako.. Unachopanda ndio utachovuna, ngojea akuletee gonjwa Ndo utajua ana akili au hana.. Timiza wajibu wako uone Kama Mungu hatakunyoshea Mtu wako , si iliandikwa Mwanamke atamlinda Mwanaume unadhani andiko lile takatifu lilikuwa Na maana gani??!?
Kwa taarifa yako kuna wanawake wanaojitongozesha , na je kila anayekutongoza lazima uwe naye kisa eti huna mume. Je unafikiri Mungu hawezi kumpa mwanamke huyo mume wa kwake kama ataomba. Nyumba ndogo huitwa pozeo tuuuuu na atabaki kuwa pozeo na mwizi. Simhukumu mtu bali nasema wanachofanya ni uuuaji hakuna neno zuri la kutumia hapo . Si wote wanaofanywa nyumba ndogo wanapenda kuolewa kumbuka hilo pia. Naomba unielewe siwahukumu nawaombea siku moja waje wawe na macho ili waweze kuikimbia zinaa.Hivi mnawaonaje wanawake wasioolewa, hivi mnajua nao wana kiu ya Kuolewa?!. Je unapopanga hukumu Yake unahakika wewe huna hukumu.. ??! Je alimtongoza mumeo au Mumeo ndio alikwenda Kwa shida zake kutokana Na tifuo unalompa?
Tunapoongelea Nyumbandogo hatuongelei mambo ya Mtu kuwa Na malaya wa kumridhisha Kwa tendo la ndoa, tunaongelea mbadala wa Mke, sio kila Mara Mtu huenda kunanii sometime they just have good time together..talking and have fun together kitu ambacho alitamani atende Na Mke wake ila Mkewe huita mambo hayo kupoteza wakati, utoto Na ujinga.. Nyumba ndogo ni mbadala wa Mke.. NASEMA sio Kukampein Bali hata hao Nyumbandogo wangependa Kuwa wake kamili hawajaitiwa hapo.. Unadhani Yeye hawazi !? Think twice..
Hapana mkuu nilikua najibu hoja yako uliyosema hakuna maisha mengine . Ndio maana nikasema hapana yapo maisha baada ya haya. Huko hakuna kuoa wa kuolewa.Hapo mamito pole Sana sana. Unadhani Ukienda Mbinguni ndio utapata Mume Bora? Maisha baada ya haya ni ya Kiroho zaidi, huko hakuna kuoa wala Kuolewa so Kama unacheza makidamakida hapa ati huko utapata beat husband imekula kwako . Hakuna life jingine la Binaadam zaidi ya Hili, Hilo la Baadae sio la Binaadam Mwenye mwili Bali ROHO yake..
Miss neddy nimekupenda ghafla..ulosema yote yana ukweli.Wanawake hawabweteki wana majukumu mengi ya kifamilia zaidi ya kupet hao wanaume.Nyumba ndogo anapewa kila hitaji lakini mke hujihangaikia mwenyewe kukamilisha mahitaji yake na wakati mwingine ya kifamilia.Hivo huwezi kuwafananisha machangudoa (nyumba ndogo) na mke.
Ooooh sorry kama nimetoka nje ya mada halikua lengo langu.
Mkuu hivi unajua kuwa asilimia kubwa ya hao unaoona wanatoka nje kwa wake zao wanapata kila kitu na wengine hawapati matunzo bora kama atoayo mke. Nimeona wengi wakikimbia majukumu ya familia kwa kisingizio eti mkewe hamjali. Mke atakujali vipi iwapo unamzalisha kila mwaka ndoa ina 5 yrs sawa na idadi ya watoto. Urudipo home uko na rimoti tu hata kumfunga nepi mtoto huwezi. Mke huyu unaetaka akujibu sms je ulimjengea mazingira ya kufanya hivyo. Hebu mkuu fuatilia ni wamama wangapi wanalia juu ya ndoa zao na wengine masikini ya Mungu hawaishi kwenye maombi. Je umewahi kujiuliza kwanini mikutano ya kiroho inajazwa na wanawake. Neno la Mungu ni moto ulao mzinzi ni mzinzi tu . Tena kuna wamama wanajituma jamani pamoja na majukumu yote yakifamilia na kiofisi hawaachi kuwahudumia waume zao.
Kwa taarifa yako kuna wanawake wanaojitongozesha , na je kila anayekutongoza lazima uwe naye kisa eti huna mume. Je unafikiri Mungu hawezi kumpa mwanamke huyo mume wa kwake kama ataomba. Nyumba ndogo huitwa pozeo tuuuuu na atabaki kuwa pozeo na mwizi. Simhukumu mtu bali nasema wanachofanya ni uuuaji hakuna neno zuri la kutumia hapo . Si wote wanaofanywa nyumba ndogo wanapenda kuolewa kumbuka hilo pia. Naomba unielewe siwahukumu nawaombea siku moja waje wawe na macho ili waweze kuikimbia zinaa.
Kwa nijuavyo mimi huwa hakuna mbadala wa mke na hata imani zinazoruhusu kuoa zaidi ya mmoja bado na wao hawaitani nyumba ndogo huitwa mke mkubwa, mke mdogo au bi mkubwa na bi mdogo na bado wanaipiga vita zinaa . Sasa jamii kwa kupunguza ukali wa maneno wanaiita nyumba ndogo ambayo kwa namna nyingine unaweza kuwaita wazinzi au vyovyote unavyoona sababu ni wezi na wauaji. Mkuu kuolewa si wito bali ni uamuzi , kuna walioamua kuishi wenyewe na kuna walioamua kuolewa. Mungu si dhalimu waombe tu atawapa wa kwao kama wanataka kuolewa.
Hapana mkuu nilikua najibu hoja yako uliyosema hakuna maisha mengine . Ndio maana nikasema hapana yapo maisha baada ya haya. Huko hakuna kuoa wa kuolewa.
..
No ivi unajua Mtu kabla ya ndoa anavyobehave?!? All the TBS PLUS behaviour you meet there my friend.. Nisikilizie aingie Ndani, anakuwa si Yule tena, anagain negative phenomenon. Hakuna mwanaume asiyejitahidi kisettle Na Mkewe but this women are Realy cruel, wabishi.. Au sometime anapuuzia tu.. Na hajui maskini ya Mungu action zake zinamuumiza mwenzake Kwenye level Gani..
Wanaume wengi mambo ya kupigizana kelele hawana, Wanaume wa zamani marriage conflict Kama hizi za nowaday walikuwa wanazisolve Kwa kumtwanga honey wake but not Today, nani umpige, nani umdunde atakupeleka post faster. So siku hizi kero zikizidi kimya kimya watu wanajitafutia solution mbadala of which I bet zinaweza Kuwa Na Madhara makubwa zaidi..
Hasa pale Nyumbandogo anapopata Mtoto, let say a baby girl, akiwa Mdogo sio taabu sana ila Kawe kabint Sasa. Kanakuuliza On call, Dady uko wapi..!! Dady mbona unatuacha Na mama usiku, Dady naumwa njoo .. Inapainvipi..!!
mi hata hanisumbui na hizo nyumba ndogo zake bana, kwani mimi ndio sitongozwi?
huyu wa kwangu alinirusha roho sana na hizo nyumba ndogo..mwanaume anarudi usiku saa 8-9
kwa uchungu na upendo nilikuwa hata silali, namuwazia tuuuu mume wangu, nikipiga cm hapokei, hapo chakula nimemuandalia, mwenyewe nimeoga nimejiremba namsubiri arudi wapi..mwishoe unaishia kulala na njaa na hasira juu
nikaona ya nini, na mimi nikawa na kidumu changu, yeye hata arudi asubuhi mi sijali...yale mapresha ya kuhangaika kumtafuta nikawa sina, na chakula nakula mapema nalala wala habari sina..na akirudi wala sikasiriki mana najua na mimi si ninaye? ila mimi sichelewi nyumbani na for years hakujua ila alishangaa tu simjali tena, yaani yale maatention mume kachelewa sijui yuko wapi wala sina..yaani kwa kifupi wivu sina ye aende anakotaka arudi muda anaotaka, mi poa tu..
alivoona sina time naye sasa ndo akaanza kutafuta why? bado hajui ila ana wasi wasi na mawivu kibao simu yangu ikiita tu keshaishika..mara anakuja ofcn bila taarifa ilimradi tu aone km niko kweli ofcn, na huko kuchelewa usiku keshaacha long time anawahi home kuliko hata mimi, sijui ndio keshatemwa na uyo nyumba ndogo au vp! au ndo kajionea bora ya mama fulani!!!!! sijui, wala sijamuuliza... haya sasa nasema nyumba ndogo imeishia wapi siku hizi? kawa mpole kama kamwagiwa maji, na hiyo nyumba ndogo yenyewe inamtukana kama mtt mdg, yani ukiona hizo msg anazotumiwa utamuonea huruma..na ndio kamzalisha na mtoto basi ndio anakomaje? mie namwangalia tu, namwambia nenda mkalee mtoto unaitwa, hajibu kimyaaaaaaaa kama kamwagiwa maji vile..kuna siku kaniambia eti mi nataka kumtelekeza huyo mtt nifanye nini? nikamwambia usinihusishe kwenye zambi zako kwani wakat una..........huyo mama yake ulinambia? basi kimya anabaki kama kamwagiwa maji ya baridi vile...
na hio nyumba ndogo yake ikipiga simu nampa namwambia pokea, wakati mwingine hapokei itapigwa weeeeeeeee mpaka namlazimisha ndio anapokea basi utasikia wanavojibizana na mitusi kibao!!!! heheeee, najisemea moyoni..uliyataka mwenyewe sasa utajibeba!!! wewe si uliona nyumba ndogo ya maana ngoja ikuonyeshe kazi sasa...na hiyo nyumba ndogo inamuaibisha hadi kazini, anakomaje????... na sasa alivo hana akili akawa na nyumba ndogo isiyo na kazi halafu ikazaa, yaani ni vurugu kwa kwend ambele.........ndio sasa eti karudisha majeshi kwa mama naniii mpooooole mwenyewe, hata umseme vipi anajiinamia tu...anaona aibu tuu
na moyoni najisemea mi nilikuwa sijui kucheat, amenifundisha yeye..(in fact alinikuta virgin)..na nilikuwa sijui mwanaume zaidi yake...lakini hizo nyumba ndogo zake zimenitia akili, nami nikajua maaana halisi ya kidumu...
kwa iyo msifikir nyumba ndogo ni soulution...ingekuwa ni solution basi huyu wa kwangu angekuwa na furaha tele na amani kibao lkn kwa sasa ndio kazidiwa na mawazo lukuki na ananishitakia mimi nimsaidie jinsi ya kuhandle hilo li nyumba ndogo lake waliloshindwana....kila siku anajutaga tuuu, na mi nasema bado.......mfyuuuuuuuuu
lakini mbona zigo lote la kutunza ndoa mnamwachia mwanamke just imagine nae ni mfanyakazi je haitaji kubembelezwa??????
mwanaume anaetoka nje ya ndoa asidhani hao nyumba ndogo wanampa upendo bure wengi ndo OFFICE hizo na ni lazima wawajibike ili kulinda kibarua kinachowawezesha kuishi mjini
nyumba ndogo anakupetipeti ili umlipie kodi na mume hapo badala ya kuwekeza kwa ajiri ya familia yake anajiona mjanja kuhonga nyumba ndogo
nyumba ndogo anapendeza kwa sababu unampa pesa ya shopping,saloon, achilia mbali vipodozi na mikwanja midogomidogo
je mkeo mara ya mwisho lini ulimpeleka SHOPPING.lini ulimpa hela ya saloon. lini ulimtoa out
sana sana unajiona mjanja unatoa hela ya majukumu ya nyumbani basiiiiiiiiiii
kumbuka mke nae anahitaji kutengenezwa ili aweze kutoa vyema hizo huduma unazozipata nyumba ndogo za kupeti peti na kumassage
pamoja na yote kumbuka nyumba ndogo yingi huwa hawana kazi zaidi ya kujirembaremba na kumsubiri bwana mkubwa basiiiiiiiiiiii
je mkeo atoke offisini kachoshwa na foleni home kuna watoto wanamsubiri awasaidie homework
na hapo unampa lawama juu kuwa hawajibiki SHAME ON YOU
wanaume wote wenye nyumba ndogo ni wabinafsi wanaozifikiria raha za muda mfupi tu