Never underestimate the power of nyumba ndogo

good girls ndo wanaokuwa cheated on,you do EVERYTHING FOR HIM he takes it for granted...ya kazi gani
If he cheats i cheat,or rather ntamuwahi,

u r right dia.. wengi wameolewa wakiwa innocent na wakiwapenda kwa dhati waume zao, lkn wanawake wanajifunza kucheat kutokana na kutendwa na waume zao.
ndoa zenyewe mpaka kifo kitenganishe, hata ukiondoka bado unaendelea kuwa Mrs fulani, watu wamejiamulia kupunguza stress kwa kuwa na vidumu, tena bila wanaume kujua kama wake zao wanacheat.

kiukweli, wanawake wanacheat sana siku hizi, lkn wengi wao ukiwauliza watakwambia ni stress za ndoa, mume yupo busy na nyumba ndogo, anarudi matisa ya usiku, hamuheshimu mkewe, etc. na hao wanaume wa chips mayai, akishakuwa na small house, nyumbani hawezi kukutosheleza tena, mwanamke wa watu analia ma mito kitandani mwishowe anaona tabu ya nini, ngoja nami nitafute wangu
 
ndo hvo mwaya,my mom is one innocent and good woman,rafu za mzee sasa aaargh....,MUngu amlinde mama angu...
 
Seriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never underestimate the power of nyumbandogo.

Umebweteka tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka, mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana..

Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.

Sijui mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo , Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa Mke wa bwana mmoja askari Uriya, akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste itageuka klose-yunivaste.

Hapana aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea "vitu" kiasi hata akienda nje hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa, Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.

Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..

Big up umenipata, akili ya Mwanaume hupeleka Moyo wake, sio Siri Za familia tu hata zake zote hummwagia Yule ampaye faraja hata kama ni temporary.. Hii Ndo naiita Nguvu ya mwanamke.. Nguvu ya Mwanamke iko katika kuutumia uanauke wake Kwa mwanaume.. Wanawake wengi ni Kama wanaume, Tabia Za Ubishi,ugomvi, kujifanya bize Na Kazi, kuutojali hizi ni Tabia Za kiume, Na alway like poles repel.. While unlike pole attract.. Mwanaume akiziona Tabia hizo Kwa Mkewe lazima azikimbie kiaina..

Mwanamke ni gentle, flexible, laini, Mkimya flan, anajianini .. Na lazima mwanaume ampende.. And that is exactly what side women do.. Kwenye Vitabu vya Dini tulisoma Mwanamke tu Delilah Kwa kutumia uanamke wake, love, flexble, nyororo Na all time yuko bize Na the Great powerfull man Samson, aliyewashinda thousand of men but this simple women akamteka.. Mwanamke ana Nguvu sana akiutumia uanamke wake Na si ubabe
Usitutishe,hatuogopi nguvu yao wala kuachwa tunaogopa maradhi.Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio, yeye kakuvumilia mangapi?ubinafsi unawasumbua na kutokujitambua, si muwageuze nyumba kubwa hao vidumu wenu, mbona wengi wenu mnaishia kuwadanganya,kuwazalisha na kuwatelekeza hao nyumba ndogo?. Kama mwanaume wa kweli hamna haja ya ku cheat, mke amekuchosha kaa nae vunja mkataba endelea na nyumba ndogo usimletee mwenzio maradhi.
 
Tatizo ni kudhani kuwa ndoa ni pesa tu...maana naona mleta mada amelenga kwenye mume kuchunwa tuuuu

Nani kasema wanawake wote macho yao yako kwenye wallet za waume zao? Ndoa ni love na si pesa...

Otherwise ndoa inalindwa kwa sala na maombi ...hata umkande vipi mumeo...bila kumtegemea Mungu ni bure tu...kwani hata small house ina mikono ya kukandia...

Hacha kuleta vitisho...waache wanandoa wa enjoy ndoa zao

Na kama alivyosema mdau hapo juu zama za kutisha wanawake zimepitwa na wakati...wamewezeshwa wameweza...

Mbona wanaume na nyie mnachitiwa kwenda mbele these days
 
Well said Big Hse! Mtu mzima hatishiwi NYAU!
 
u r right dia.. wengi wameolewa wakiwa innocent na wakiwapenda kwa dhati waume zao, lkn wanawake wanajifunza kucheat kutokana na kutendwa na waume zao.
ndoa zenyewe mpaka kifo kitenganishe, hata ukiondoka bado unaendelea kuwa Mrs fulani, watu wamejiamulia kupunguza stress kwa kuwa na vidumu, tena bila wanaume kujua kama wake zao wanacheat.

kiukweli, wanawake wanacheat sana siku hizi, lkn wengi wao ukiwauliza watakwambia ni stress za ndoa, mume yupo busy na nyumba ndogo, anarudi matisa ya usiku, hamuheshimu mkewe, etc. na hao wanaume wa chips mayai, akishakuwa na small house, nyumbani hawezi kukutosheleza tena, mwanamke wa watu analia ma mito kitandani mwishowe anaona tabu ya nini, ngoja nami nitafute wangu

Sasa umeanza fujo acha nitakunaniiiiii weye kumbe nikiondoka unamkabidhi mzigo mwingine du sasa nakuja uache kabisa.
 
Eeeh Mmezidi na nyie ,some men are impossible to please,...mkeo hachokii??na jeee wewe mwanaume unampa mkeo everything na yeye asitoke nje??
Unafikiri kukucheat haiwezekani?haki mi ukizidisha vurugu za nje no need kuzozana wl js give a treat of ur own medicine......
Nikae nawaza the power of nyumba ndogo ili iweje wkt nimeolewa mimi،(legally)
nyumba ndogo wanadanganywa tuu,mume wa mtu sio,hadi kanioa mimi HE HAD REASONS

hehe wale wasomii walio olewa haooo
 
TAMKO hii mada ni nzuri sana ila utaiharibu kwa kuwa too biased. Usijibu hoja zinazopingana nawe kwa mipashuo bali jibu hoja kwa hoja. Mtu anapopinga nyumba ndogo kwa kucite Serengeti boys mpinge kwa kuonyesha ni jinsi gani Serengeti boys hawana power kama nyumba ndogo na usiishie tu kutupa mipasho bwana.
Embu tuweke Sawa mizania zetu

Hao wanaoitwa Vidumu au Serengeti boys wanawake huwaendea Kwa kukidhi tu matamanio ya Tendo la Ndoa sio Love. Love Ni Zaidi ya nyono, Hawezi mwanamke kwa kidumu chake au Serengeti boys wake akasema ati ashauriane naye A-Z ya maendeleo flan, on top of the stone a woman pay attention to maintain, funding and fulfill all the boys requirements Ni Tofauti kabisa Na Nyumbandogo ambapo not only ngono but chatting, staying , and so many .. And the man is there by attending all needs. Wala haipo Kwamba a woman amkimbie mumewe Na Kurun Kwa kiserengeti alichokipangushia buguruni no way.. Sema a woman can ran out of her territory akapanga na Watoto wake then kiserengeti kikawa kinakuja there Kama mgeni flan..

But ukinambia Mke anaweza kupata mwanaume mwingine nje ambaye they ralk, chat and share their common interest anaweza kutoka na kukimbilia Kwa mwanaume huyo lakini si Serengeti boy Au kidumu

Lakini pia Kama dhima ya mwanaume Kwenye marriage Ni Sex tu Basi angekuwa anasaka any person for sex satisfaction the kick-go game off.
 
Kwanza usijisanganye kuwa lengo la nyumba ndogo na serengeti boys linatofautiana, wote wana lengo moja PESA

Hivyo mke au mune anapotoka yeye anafata faraja na starehe, na serengeti na nyumba ndogo wanalifahamu wanajituma kuhakikisha mke/mume amepata satisfaction huku wao wakifaidika

Na pia usijidanganye hakuna curdling, talking etc kwa serengeti, tena hao serengeti wanajua wakitakacho kuliko unavyodhani, (the same na nyumba ndogo) mtangea na mtapanga hata mikakati ya baadae ya maisha, kama vike unavyopanga kumjengea nyumba ndogo au kufungua biashara ndivyo mtakavyodiscuss future na serengeti na kupanga, mbona wengi wanaendesha biashara mjini na mikoko plus nyumba zote walipanga na mijimama yao,

Both nyumba ndogo na serengeti kuba bonding kubwa , kama vile unavyonogewa na viuno vya smallhausi ndivyo mikito na mikuna ya serengeti inanoga

Tatizo hutaki kukubali ukweli

Viserengeti vingekua sio dili unadhani vijana wanaojilengesha kwa wake za watu wangeongezeka???

Mwanamke hakimbii nyumba yake,

Bali ana uwezo wa kumjengea au kumpangia kidume mahala na yeye yupo free, kumbuka anapokua huko hataki stress za watoto ndugu wala jamaa, pia hatutaki kuharibu image yetu kwa watoti tofauti na mwanaume ambaye nyumba nzima itajua kashikwa, mwisho watoto kumchukia au kujitenga nae kimtindo

Anyway unataka kuniambia hujaona wanawake waKikimbia waume zao kwa sababu ya viserengeti na vidumu? Mbona wapo wengi

Hata siku moja ndugu usilinganishe mapenzi, ukadhanu ya mwanaume bora kuliko mwanamke, utaumiA, hujawahi kuona mke kamuacha mumewe na hadhi yake kaenda kwa kijanaume cha ajabu?

You have a lot to learn haswa kuhusu wanawake

Yeah I see the Point..! Nadhani Basi tumwachie Shetani achakaze anavyoweza Sasa tufanyeje watu wanaoana kwa Kazi Gani Sasa.. Huyu Kule yule Kule then mtasema nn yakiwakuta ya kuwakuta but pole Kwa nyumbandogo Na Viserengeti ambao wanapotezewa Muda tu mwishowe lazima WAJUTE
 
Mmmmmmmmmhhhhhhhh hapa napita tu maana sijafika huko .poleni kwa wahusikaaaaa ................

AKUNA WA KUREKEBISHA LABDA YESU PEKE YAKE
.
 
kwa hiyo na nyie mkishndwa kutimiza mahtaj yetu tutafute vdumu??? sometimes mume humtoshelez mkeo kwa bed lkn anavmilia.......... unaishiwa huna hela dada wawatu anashndia uj wa sembe lkn anavumilia..... bidada mshahara wake unaishia kulea familia hata kujifanyia shoping anashndwa na vitabu vya dn vimeandka mwanamke atazaa kwa shida na mwanaume atakula kwa jasho. bt stil bidada anazaa kwa shida na kula kwa tabu lkn anavumilia......... sasa nyie mnashindwa nini kutuvumilia???! co cr mwanamke akizaa majukumu yanaongezeka so tuvimiliane jaman coz hata nyumba ndogo unayoiona tamu ikizaa itakua chungu sasa utamaliza nyumba ndogo ngap??! RUBIS!!!!!!!!

Aisee Anita baby...WORD! Bidada ungekuwa karibu ningekugonga kinywaji ukipendacho... baelezeee baelezeee! Some men are just full of bullshit! Anaacha kujenga familia yake anakimbilia kutafuta nyumba ndogo, na huyo amzalishe watoto watatu halafu kama atakuja hapa kuelezea jinsi nyumba ndogo walivyo creative! Creative na hana majukumu?! Wakikutana its for sex and ku chill hata mimi ingekuwa hivyo si ningefanya ma style hadi mguu angeukuta dirishani! To men with such thinking.... Mfyuuuuu...!!!! Ovyooo!
 
Unajua TAMKO ndoa ni zaidi ya sex

Unaoa/ kuolewa na mtu alogusa moyo wako, unayefanana nae, mna-click, mna mapenzi mazito na hamwezi kuwa mbali

Ila ndoa ina chngamoto zake nyingi, kuishi na mtu 24/7 sio mchezo, hapo sasa kama hampo makini ndipo mtateleza, ila siku zote kutoka nje ya ndoa sio solution ( ingawa siku hizi za kijiditali wadau wanataka kugeuza fasheni)

Hapa sijaongelea wale wazinzi by nature regardless kaoa au kaolewA (nimeongelea wanaojitambua waaminifu na wenye maadili yao)

Na siku zote nyumbandogo na viserengeti havona mapenzi, vipo after money hivyo ni vyema wanandoa kupambana na changmoto zao na kukwepa upepo wa viserengeti na nyumbandogo

Yeah I see the Point..! Nadhani Basi tumwachie Shetani achakaze anavyoweza Sasa tufanyeje watu wanaoana kwa Kazi Gani Sasa.. Huyu Kule yule Kule then mtasema nn yakiwakuta ya kuwakuta but pole Kwa nyumbandogo Na Viserengeti ambao wanapotezewa Muda tu mwishowe lazima WAJUTE
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmhhhhhhhh hapa napita tu maana sijafika huko .poleni kwa wahusikaaaaa ................

AKUNA WA KUREKEBISHA LABDA YESU PEKE YAKE
.

kama unapita fanya faster faster pitazako manake watu huku kimeshaumana..!
 
Back
Top Bottom