Never underestimate the power of nyumba ndogo

Never underestimate the power of nyumba ndogo

Miss neddy nimekupenda ghafla..ulosema yote yana ukweli.Wanawake hawabweteki wana majukumu mengi ya kifamilia zaidi ya kupet hao wanaume.Nyumba ndogo anapewa kila hitaji lakini mke hujihangaikia mwenyewe kukamilisha mahitaji yake na wakati mwingine ya kifamilia.Hivo huwezi kuwafananisha machangudoa (nyumba ndogo) na mke.
 
Mie huwa nacheka(ga) pale tu ambapo mmahangaika na nyumbandogo zenu kula bata kwenda mbele lakini je mbona mkishapata magonjwa makubwa huwa mnarudi mbio kwa wake zenu?? mnakua mmesahau nini?? kwanini msikae hukohuko kwa vibanda hasara vyenu??
 
wakati nyie mnakimbizana na nyumba ndogo wake zenu wako busy na viserengeti boyz
 
lakini mbona zigo lote la kutunza ndoa mnamwachia mwanamke just imagine nae ni mfanyakazi je haitaji kubembelezwa??????
mwanaume anaetoka nje ya ndoa asidhani hao nyumba ndogo wanampa upendo bure wengi ndo OFFICE hizo na ni lazima wawajibike ili kulinda kibarua kinachowawezesha kuishi mjini

nyumba ndogo anakupetipeti ili umlipie kodi na mume hapo badala ya kuwekeza kwa ajiri ya familia yake anajiona mjanja kuhonga nyumba ndogo

nyumba ndogo anapendeza kwa sababu unampa pesa ya shopping,saloon, achilia mbali vipodozi na mikwanja midogomidogo

je mkeo mara ya mwisho lini ulimpeleka SHOPPING.lini ulimpa hela ya saloon. lini ulimtoa out
sana sana unajiona mjanja unatoa hela ya majukumu ya nyumbani basiiiiiiiiiii
kumbuka mke nae anahitaji kutengenezwa ili aweze kutoa vyema hizo huduma unazozipata nyumba ndogo za kupeti peti na kumassage

pamoja na yote kumbuka nyumba ndogo yingi huwa hawana kazi zaidi ya kujirembaremba na kumsubiri bwana mkubwa basiiiiiiiiiiii
je mkeo atoke offisini kachoshwa na foleni home kuna watoto wanamsubiri awasaidie homework
na hapo unampa lawama juu kuwa hawajibiki SHAME ON YOU
wanaume wote wenye nyumba ndogo ni wabinafsi wanaozifikiria raha za muda mfupi tu
Pole..
Unajipa taabu ya bure .. Jukumu la kulea familia ni la mwanaume kupitia Mkewe.. Relax..
 
Mwaaaah......I like,I like,I like.......
 
I love you ghafla.....Neno Hiloooo....

ndo hvo bestii,---------- tu na wanume wote wanajua hilo
nyumba ndogo ngapi wanapindua na kuolewa wao,tena ndoa za kikristo ndo kabisaa,haivunjiki....af niwaze power of whaaat..
 
Miss neddy nimekupenda ghafla..ulosema yote yana ukweli.Wanawake hawabweteki wana majukumu mengi ya kifamilia zaidi ya kupet hao wanaume.Nyumba ndogo anapewa kila hitaji lakini mke hujihangaikia mwenyewe kukamilisha mahitaji yake na wakati mwingine ya kifamilia.Hivo huwezi kuwafananisha machangudoa (nyumba ndogo) na mke.

umeona eeeeeh wanaume wengi hawafikirii hilo wao wanajua kuoa kuzalisha na kutoa pesa ya matumizi basiiiiiii majukumu mengine yote yanamwangukia mwanamke
pamoja na majukumu mengi aliyonayo mwanamke ndani ya nyumba mume bado anawaza raha apewe yeye badala wapeane na mke wake
na akiona hazipo roho yake ya kibinafsi inamtuma akatafute za kulipia nje ya ndoa
 
ndo hvo bestii,---------- tu na wanume wote wanajua hilo
nyumba ndogo ngapi wanapindua na kuolewa wao,tena ndoa za kikristo ndo kabisaa,haivunjiki....af niwaze power of whaaat..

Invisible Moderator and whoever concerned....
Kuna walakini na censored words zenu...kama hapo nliandika W.ANA.TUMIWA,nalo ni baya????!
 
Last edited by a moderator:
Lara1, kweli huu ni mwaka mpya ndio umeanza hivi au bado unaendelea na party?
 
Wanaume wasiokamilika ndio wana nyumba ndogo...sasa nasikia ni wengi...no wonder we have a very small rate ya REAL MEN.....However,.
DEAE NYUMBANDOGOS,
If you are tired of being ANOTHER WOMAN...get your a$$ another man.....
Lakini kama unaona raha kucheza number two.......Hayaaa...but i bet you will be a sad,sick woman who is running out of Blessings........
TO NYUMBAKUBWAZ
Yeas,He loved you enough to marry you but thats not a guarantee...you got to keep that brother locked(Feminism Aside)......nyumbandogo is not the worse case....but another nyumbakubwa ndio mbaya.....you will be officially left...I mean with Legal papers(Church marriages are no longer the isssh,Nobody will be stuck with your nonsense for the rest of their life) ....Lets just get our shit together.....
 
kwa hiyo btujishughulishe na mume kwa sababu hizo ulizotaja hapo? kuwinda marupurupu yake?
seriously, kama umeoa hujui maana ya ndoa asilani
Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.
 
Back
Top Bottom