Hivi kumbe wanaume ni selfish eeh? At the same time wanaume hawataki tena kuoa housewives, wanataka working class women sababu wameshaona maisha yalivyo magumu, wanahutaji msaada wa malezi.hilo hawalioni kwamba ni failure kwao ila kutwa kutaka kupetiwa petiwa.
Huyo huyo mwanamke atoke kazini, kachoka kama wewe.arudi akupikie, watoto wamdandie mwilini na uchovu wake awahudumie, wakati huo mwanaume uko bize na rimoti madai wategeshea taarifa ya habari ya sa mbili kamili.kama hujazaa vile.we ushapumzika, ushaoga ushashiba wataka usiku mkeo akupeti peti wala asikwambie kachoka.afu uje kutishia kutoka na nyumba ndogo...yani uoe kabisa huyo nyumba ndogo tuone kama ni mwanamke kweli.wengi mkishabugi mnarudi humu kuomba ushauri wa kurudia wake zenu sababu ndo mnakuja amini nyumba ndogo ni mitego ya kunyonyana hela.huna hata maendeleo uliyofanya! Its high time wanaume mnitambue.ndoa is more than that! Siku vaeni uhusika wa wake zenu muone kama ni maembe! Eboo
Wapwani wengi wanaonekana kuweza kupetiana sababu kwao its customary kuwa housewife kushinda nyumbani kuogea machicha ya nazi kumsubiri mume jioni.wanawake wanaweza sana kupeti kama huna kazi ya kufanya ye mume anatimiza mahitaji yote ya nyumbani.sio mtake mke afanye kazi huku wataka awe mashine ya kukupa maraha usiku kucha! Utu wenu uko wapi!...
Hizo cost kwa mkeo usitishe ila kwa nyumba ndogo uzitoe? kwanini usizitoe kwa mkeo?siwezi kupenda kama kipindi cha uchumba mda ule msukumo ulikua kuimpress ili nikupate tu ila maisha halisi ni tofauti kabisa na enzi za uchumba!!! time & cost zile mwanaume alizokua anaingia kipindi cha uchumba sio sustainable in a long run so get used to it!!! kila cku nikutoe out, weekend bagamoyo au zenji, shopping kila wiki za nguo, ukija geto napika chakula unakula tu, nyumba safi nk ni kuigiza tu ili nikupate ishi kama maisha ya kwenu yalivyo ya kila cku ustake kuja kuanzisha style mpya ya maisha kwangu!!!
Asante Kwa Hadithi Nzuri, nadhani iko kianalojia zaidi Na ilitungwa kipindi kilee Cha Mokasi Na Pekoz Kwenye miaka ile ya hamsini-kweusi wakati hata msamiati HIV Ulikuwa Bado sana kuvumbuliwa.. Karibu Kwenye ulimwengu wa dijitali mwanakwetu ambapo ukicheza peku unayakanyaga mawaya live.. Sio ulimwengu ule wa kuuchezea kivilee..mi hata hanisumbui na hizo nyumba ndogo zake bana, kwani mimi ndio sitongozwi?
huyu wa kwangu alinirusha roho sana na hizo nyumba ndogo..mwanaume anarudi usiku saa 8-9
kwa uchungu na upendo nilikuwa hata silali, namuwazia tuuuu mume wangu, nikipiga cm hapokei, hapo chakula nimemuandalia, mwenyewe nimeoga nimejiremba namsubiri arudi wapi..mwishoe unaishia kulala na njaa na hasira juu
nikaona ya nini, na mimi nikawa na kidumu changu, yeye hata arudi asubuhi mi sijali...yale mapresha ya kuhangaika kumtafuta nikawa sina, na chakula nakula mapema nalala wala habari sina..na akirudi wala sikasiriki mana najua na mimi si ninaye? ila mimi sichelewi nyumbani na for years hakujua ila alishangaa tu simjali tena, yaani yale maatention mume kachelewa sijui yuko wapi wala sina..yaani kwa kifupi wivu sina ye aende anakotaka arudi muda anaotaka, mi poa tu..
alivoona sina time naye sasa ndo akaanza kutafuta why? bado hajui ila ana wasi wasi na mawivu kibao simu yangu ikiita tu keshaishika..mara anakuja ofcn bila taarifa ilimradi tu aone km niko kweli ofcn, na huko kuchelewa usiku keshaacha long time anawahi home kuliko hata mimi, sijui ndio keshatemwa na uyo nyumba ndogo au vp! au ndo kajionea bora ya mama fulani!!!!! sijui, wala sijamuuliza... haya sasa nasema nyumba ndogo imeishia wapi siku hizi? kawa mpole kama kamwagiwa maji, na hiyo nyumba ndogo yenyewe inamtukana kama mtt mdg, yani ukiona hizo msg anazotumiwa utamuonea huruma..na ndio kamzalisha na mtoto basi ndio anakomaje? mie namwangalia tu, namwambia nenda mkalee mtoto unaitwa, hajibu kimyaaaaaaaa kama kamwagiwa maji vile..kuna siku kaniambia eti mi nataka kumtelekeza huyo mtt nifanye nini? nikamwambia usinihusishe kwenye zambi zako kwani wakat una..........huyo mama yake ulinambia? basi kimya anabaki kama kamwagiwa maji ya baridi vile...
na hio nyumba ndogo yake ikipiga simu nampa namwambia pokea, wakati mwingine hapokei itapigwa weeeeeeeee mpaka namlazimisha ndio anapokea basi utasikia wanavojibizana na mitusi kibao!!!! heheeee, najisemea moyoni..uliyataka mwenyewe sasa utajibeba!!! wewe si uliona nyumba ndogo ya maana ngoja ikuonyeshe kazi sasa...na hiyo nyumba ndogo inamuaibisha hadi kazini, anakomaje????... na sasa alivo hana akili akawa na nyumba ndogo isiyo na kazi halafu ikazaa, yaani ni vurugu kwa kwend ambele.........ndio sasa eti karudisha majeshi kwa mama naniii mpooooole mwenyewe, hata umseme vipi anajiinamia tu...anaona aibu tuu
na moyoni najisemea mi nilikuwa sijui kucheat, amenifundisha yeye..(in fact alinikuta virgin)..na nilikuwa sijui mwanaume zaidi yake...lakini hizo nyumba ndogo zake zimenitia akili, nami nikajua maaana halisi ya kidumu...
kwa iyo msifikir nyumba ndogo ni soulution...ingekuwa ni solution basi huyu wa kwangu angekuwa na furaha tele na amani kibao lkn kwa sasa ndio kazidiwa na mawazo lukuki na ananishitakia mimi nimsaidie jinsi ya kuhandle hilo li nyumba ndogo lake waliloshindwana....kila siku anajutaga tuuu, na mi nasema bado.......mfyuuuuuuuuu
mi hata hanisumbui na hizo nyumba ndogo zake bana, kwani mimi ndio sitongozwi?

wakati nyie mnakimbizana na nyumba ndogo wake zenu wako busy na viserengeti boyz
pole..
Unajipa taabu ya bure .. Jukumu la kulea familia ni la mwanaume kupitia mkewe.. Relax..
Serengeti sio mbadala wa Mume.. Embu Basi alale huko tuone..! No way.. !
Asante Kwa Hadithi Nzuri, nadhani iko kianalojia zaidi Na ilitungwa kipindi kilee Cha Mokasi Na Pekoz Kwenye miaka ile ya hamsini-kweusi wakati hata msamiati HIV Ulikuwa Bado sana kuvumbuliwa.. Karibu Kwenye ulimwengu wa dijitali mwanakwetu ambapo ukicheza peku unayakanyaga mawaya live.. Sio ulimwengu ule wa kuuchezea kivilee..

umeona eeeeeh wanaume wengi hawafikirii hilo wao wanajua kuoa kuzalisha na kutoa pesa ya matumizi basiiiiiii majukumu mengine yote yanamwangukia mwanamke
pamoja na majukumu mengi aliyonayo mwanamke ndani ya nyumba mume bado anawaza raha apewe yeye badala wapeane na mke wake
na akiona hazipo roho yake ya kibinafsi inamtuma akatafute za kulipia nje ya ndoa
Nadhani sio Hoja ya kumteta au kumtetea yeyote.. Tunaongelea fact Za Maisha.. Nionyeshe weak point tujenge palipo bomoka pamoja.. Ivi unadhani nani anafurahia Kuwa Na Nyumbandogo? Kama yote anayoyataka anayapata Ndani?!?. May be amejiskia Kuwa Na another women apart Na Mkewe Sasa huyu ni Mhuni tu Malaya. Malaya ni Mtu asiye Na specific person, Leo huyu kesho yule.. Lakini Nyumbandogo Mtu anazaa Hadi three children there.. ! Hii ni zaidi ya tunavyo fikiri tutafakari zaidi.. Mie naumia wale Watoto Kule nje watapata malezi ya UPANDE mmoja wa mzazi this pain more
mume akicheza peku HIV haiji? ila mke akicheza peku HIV ndo inakuja?
Hahah TAMKO na wewe bwana. Don't underestimate the power of a woman aliyeamua kuwa na Serengeti boy. Unaposema Serengeti boy sio mbadala wa mume una maanisha nini maana kwangu anachokifanya mwanaume kwa nyumba ndogo yake kinawezakufanywa na mwanamke kwa Serengeti wake - tena na zaidi.Serengeti sio mbadala wa Mume.. Embu Basi alale huko tuone..! No way.. !