TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
- Thread starter
- #61
Nadhani sio Hoja ya kumteta au kumtetea yeyote.. Tunaongelea fact Za Maisha.. Nionyeshe weak point tujenge palipo bomoka pamoja.. Ivi unadhani nani anafurahia Kuwa Na Nyumbandogo? Kama yote anayoyataka anayapata Ndani?!?. May be amejiskia Kuwa Na another women apart Na Mkewe Sasa huyu ni Mhuni tu Malaya. Malaya ni Mtu asiye Na specific person, Leo huyu kesho yule.. Lakini Nyumbandogo Mtu anazaa Hadi three children there.. ! Hii ni zaidi ya tunavyo fikiri tutafakari zaidi.. Mie naumia wale Watoto Kule nje watapata malezi ya UPANDE mmoja wa mzazi this pain moreumeona eeeh Ntakasi mtoa mada lazima atakuwa team nyumba ndogo ndo mana anawatetea sana huyu
Last edited by a moderator: