Never underestimate the power of nyumba ndogo

Never underestimate the power of nyumba ndogo

Wanaume wasiokamilika ndio wana nyumba ndogo...sasa nasikia ni wengi...no wonder we have a very small rate ya REAL MEN.....However,.
DEAE NYUMBANDOGOS,
If you are tired of being ANOTHER WOMAN...get your a$$ another man.....
Lakini kama unaona raha kucheza number two.......Hayaaa...but i bet you will be a sad,sick woman who is running out of Blessings........
TO NYUMBAKUBWAZ
Yeas,He loved you enough to marry you but thats not a guarantee...you got to keep that brother locked(Feminism Aside)......nyumbandogo is not the worse case....but another nyumbakubwa ndio mbaya.....you will be officially left...I mean with Legal papers(Church marriages are no longer the isssh,Nobody will be stuck with your nonsense for the rest of their life) ....Lets just get our shit together.....
Hangover ikipungua njoo uedit kijipost chako naona Kwa Mbali una point ila nguvu ya Usiku Bado iko mkichwa, ikipungua we will like to hear this ..
 
na mkeo akifanya yote unayofanyiwa kwenye nyumba ndogo ile nyumba ndogo inakuwa nyumba kubwa eeeeeh!

mchana mwema!
 
Hangover ikipungua njoo uedit kijipost chako naona Kwa Mbali una point ila nguvu ya Usiku Bado iko mkichwa, ikipungua we will like to hear this ..

Yaani hiyo iko hivyo hivyo....Kavukavu....,You need a glass of water to dehydrate your system kwanza.....
 
Mwanaume serious hatainvest nyumba ndogo atatafuta suluhisho kwanza nyumbani unless ametokea kuwa in love with another woman
Maisha ya ndoa sio smooth sail, A man and woman ni humans afterall we tend to lose interest muda mwingine lazima both wanandoa wawe na mipango ya kuboresha ndoa yao. Ni jambo progressive na hakuna a perfect marriage
 
Kuwa na nyumba ndogo sio ujanja wala nini sana sana ni kujidhalilisha mwenyewe mwanaume inaonesha hukuwa unajua mwanamke wa aina gani unamtaka maishani,na kwa maisha ya sasa hivi unaweza ukamuonja mara nyingi tu kujua yaliyomo yamo.na anazo criteria za kuwa mke wako??,kuwa na nyumba ndogo sio suluhisho.,na haimsaidii mke wako cha msingi jaribu kumbadilisha awe na tabia unazozipenda ukishindwa unaweza kumwambia hata indirect. Way
 
na mkeo akifanya yote unayofanyiwa kwenye nyumba ndogo ile nyumba ndogo inakuwa nyumba kubwa eeeeeh!

mchana mwema!
Watu Nyie ni wabishi, Na mbishi hafaidi hata siku moja, bakieni ivo ivo..! Mpaka yawakute..! Na yako mlangoni usilie
 
Mwanaume serious hatainvest nyumba ndogo atatafuta suluhisho kwanza nyumbani unless ametokea kuwa in love with another woman
Maisha ya ndoa sio smooth sail, A man and woman ni humans afterall we tend to lose interest muda mwingine lazima both wanandoa wawe na mipango ya kuboresha ndoa yao. Ni jambo progressive na hakuna a perfect marriage

Hizi ni Busara....Word!
 
He he he, kwanza kabla hajaenda kazini nahakikisha kila kitu kimekamuliwa, anaenda kazini mwepesiiii. Afu akiondoka tu, full kumtongoza tongoza.
Labda akale mihogo ya koko kama huwa inasaidia kweli.

Ila akiniboa pia, huwa naenda maabara kusaka mbinu za maangamizi.

ntakuja unifundishe kukaba. tatizo langu staki kukabwa ili na nyumba ndogo yangu nisiipe shida
(afu utaona wachawi wanamuita paw sasa hivi, aaagh)
 
Ktk nguvu kubwa ambazo mwanamke anazo basi, moja wapo ipo ktk "ulimi" wake. Mwanamke aliyeolewa (na ukute kasoma) hii kwake ataona ni kujidhalilisha,wakati kwa nyumba ndogo kwake hio ndio fursa.Ndipo tunapo toa hata siri za ndani;unajua mkewangu hanipigiagi simu,haonyeshi kufurahia tendo,ni mtu wa kulalama kila siku,sio mtu wa kuapreciate na n.k, basi hiyo nyumba faraja itakuwa ikifanya yote ambayo mke hafanyi.Amin kuna wanaume wanajenga nyumba au kunua gari kwa nyumba faraja hata kabla ya familia zao
 
Ukitaka asikusumbue, mlegeze goti kila asubuhi, nyumba ndogo lazima ikimbie yenyewe. Kila siku inakuwa inapewa chai tu, hakuna lunch wala dinner.

...ataishia kupewa vya lunch time tu...
hata havinogi, havina nafasi ya kujiachia
 
Yaani hiyo iko hivyo hivyo....Kavukavu....,You need a glass of water to dehydrate your system kwanza.....

umeona eeeh Ntakasi mtoa mada lazima atakuwa team nyumba ndogo ndo mana anawatetea sana huyu
 
Last edited by a moderator:
Wala nyumba ndogo si za kulaumiwa, kama demand ipo always products huwa zipo tu.

Hawa walooa ndio wa kupigwa vichwa hadi vibantalale

umeona eeeh Ntakasi mtoa mada lazima atakuwa team nyumba ndogo ndo mana anawatetea sana huyu
 
Kuwa na nyumba ndogo sio ujanja wala nini sana sana ni kujidhalilisha mwenyewe mwanaume inaonesha hukuwa unajua mwanamke wa aina gani unamtaka maishani,na kwa maisha ya sasa hivi unaweza ukamuonja mara nyingi tu kujua yaliyomo yamo.na anazo criteria za kuwa mke wako??,kuwa na nyumba ndogo sio suluhisho.,na haimsaidii mke wako ca msingi jaribu kumbadilisha awe na tabia unazozipenda ukishindwa unaweza kumwambia hata indirect. Way
..

No ivi unajua Mtu kabla ya ndoa anavyobehave?!? All the TBS PLUS behaviour you meet there my friend.. Nisikilizie aingie Ndani, anakuwa si Yule tena, anagain negative phenomenon. Hakuna mwanaume asiyejitahidi kisettle Na Mkewe but this women are Realy cruel, wabishi.. Au sometime anapuuzia tu.. Na hajui maskini ya Mungu action zake zinamuumiza mwenzake Kwenye level Gani..

Wanaume wengi mambo ya kupigizana kelele hawana, Wanaume wa zamani marriage conflict Kama hizi za nowaday walikuwa wanazisolve Kwa kumtwanga honey wake but not Today, nani umpige, nani umdunde atakupeleka post faster. So siku hizi kero zikizidi kimya kimya watu wanajitafutia solution mbadala of which I bet zinaweza Kuwa Na Madhara makubwa zaidi..

Hasa pale Nyumbandogo anapopata Mtoto, let say a baby girl, akiwa Mdogo sio taabu sana ila Kawe kabint Sasa. Kanakuuliza On call, Dady uko wapi..!! Dady mbona unatuacha Na mama usiku, Dady naumwa njoo .. Inapainvipi..!!
 
Unacheka!sasa kama hao nyumba ndogo wanajua mahabati c waolewe?au kama ww mkeo anabweteka unadhani ni wote?poor you!mi nyumba ndogo hanisumbui kichwa changu coz hata wanaume c kwamba mnawaridhisha sana wake zenu,tunawavumia tu,eti masage ndio ikupeleke nyumba ndogo c ni ulimbukeni huo?na huyo nyumba ndogo angekua anaweza sana angeachwa mke aolewe yeye,lkn ndio lle ya shiiiii mke wangu anapiga nyamaza inahusuuuuuu!hahaaaaa mjipe moyo ila mke atabaki kua mke,kama nyumba ndogo anajua mahaba angekua na mme wake halali akamfanyia analoweza na c kugeuzwa shortcat na wapita njia!mwisho wa cku ataachwa tu mume atatulia na mke wake,na nyie wanaume jijazeni ujinga utadhani mmetufungia mita wake zenu,tunaweza sana kutoka na sisi so mkae mkijua nyumba ndogo hazitusumbui,toka nitoke,dawa ya moto ni moto,mtaishia kutuua kwa bastola ilhali nyie ndio tatizo!nyooooooo!nyumba ndogo my foot!
 
Back
Top Bottom