Neno lolote kwa ex wako

Neno lolote kwa ex wako

Nafurahi Sana pale ninaposikia kua kila mwanamke unayekua naye hamdumu, na vile unavyoshindwa kupata mtoto Kati mi nakaribia kuitwa bibi
 
tena wagongwe na treni yeye na kibaasha chake wasiwepo kabisa katika uso huu wa dunia unaijua akaunti yangu nadhani umenipata na siku nikimiliki mguu wa kuku nawadungua hizo ngoko zenu mkiingia katika anga zangu
mfyuuuuuuuu ![emoji57] [emoji57]
Mkodi scopion
 
Aendelee tu na maisha yake!

Alinisingizia kanifumania huku anatafuta gia ya kuniacha nisimdai hela zangu!!!! a good (28 mil)

Ajabu kila mtu alkmshangaa! Alikuwa anasimamisha hadi wapita njia kusema kanifumania (ni kipind sitakisahau)

Lakin familia zote yangu na kwao walikuwa pamoja na mimi

Sasa anatuma watu kuomba msamaha (niliwaambia azunguke tz yote aweke mkutano kila balozi ya kuomba msamaha) ni hiyo mikutano yote iwe live kweli medias
Mkuu akimuita makonda na diamond[emoji815] afu ipakigiwa promo na cloud kama ya fiest na sa3 akaisoma salim kikeke utakuwa bado hujardhia mkuu
 
Mungu akupe maisha marefu maana bila wewe mimi leo hii ningekua sili 071.....([emoji108])daaaah kama nakuona vile my former heartmate. .....see you next time koz kauli mbiu ni ileile "Farasi uliyempanda kamwe huwezi shindwa mpanda tena " Peace [emoji111]
 
Back
Top Bottom