Wanguzurey
Senior Member
- Jul 18, 2016
- 113
- 56
Nakupenda, na nitazidi kukupenda! Mungu akupe maisha marefu.
mtakua mnachepuanaBado nampenda nayeye ananipenda lakini nimepata mbora zaidi yake,aoe tu mwingine asipoteze mda wake kwangu
amekupataMaisha yanaendelea baada ya break up, yupo mmoja kwa ajili yake.
zitamfikiaNakutakia maisha mema na mazuri
nadhaniNakupenda, na nitazidi kukupenda! Mungu akupe maisha marefu.
atajuaje kama ndo wewe mkuu.?I miss u my ex. Kama uko humu ni PM .
E banaaEe..Ulivyosema mie wa nini mwenzio aliwaza atanipata liniii, poleee weee my ex love
Mkuu una kikosi cha ma x[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sina mengi ya kuwaambia, ila nawatakia maisha yenye furaha tele...
atakua amekupataKiburi chako hakitakusaidia sana, wote tunapumua hewa ya M/Mungu, wote tunaenda choo na mwisho wa yote tukifa tutanuka tu na tutazikwa ardhini. Maringo na makidai mwisho ni chini ya jua. Nenda kwa amani.
mkuu utakua na YPoor me sina ex
Kweli.aisee nawaza kweli kuna baadhi ya mambo sikufanya unaenda mwa wa 11 kwenye ndoa lolmkuu utakua na Y
Labda anajua mwandiko wakeatajuaje kama ndo wewe mkuu.?
HahahaKafieni mbele....