Neno lolote kwa ex wako

Neno lolote kwa ex wako

1474750226403.jpg

Ugua salama ewe X
 
Doing very fine without you. Counting blessings over blessings with my pillars for 16 years. Grown beautiful twins. They are blessings to our clan but an outcast to you and your clan. Cherishing them, my darlings.
 
Sijawahi achwa, nilio waacha sijui wananiombea nini ila mi namuomba Mungu maana ni yeye pekee anaweza ruhusu jambo fulani likupate
Tusihukumiane au kuumizana kisa mapenzi ukiachwa tulia
Angalia ulipokosea na ujifunze ili maisha yaendelee
 
Mmmmh kwaherini umu nkiendelea kukaa ntapata maradhi mavi ya kale hayanuki lkn ya X friend yananuka bvaya
 
Aendelee tu na maisha yake!

Alinisingizia kanifumania huku anatafuta gia ya kuniacha nisimdai hela zangu!!!! a good (28 mil)

Ajabu kila mtu alkmshangaa! Alikuwa anasimamisha hadi wapita njia kusema kanifumania (ni kipind sitakisahau)

Lakin familia zote yangu na kwao walikuwa pamoja na mimi

Sasa anatuma watu kuomba msamaha (niliwaambia azunguke tz yote aweke mkutano kila balozi ya kuomba msamaha) ni hiyo mikutano yote iwe live kweli medias
 
Ha ha ha jamani eti afanye mikutano live lol. Vipi alikulipa lakini?
 
Train zinapita nyingi, hiyo imeishaondoka, itakuja nyingine mzuri na mwendo kasi ndiyo nitakayoipanda. Samaki wako wengi baharini wewe ukuwa samaki wangu, nitavua mwingine!!
 
Ha ha ha jamani eti afanye mikutano live lol. Vipi alikulipa lakini?
Aokote wapi?
Kama alivyofanya mikutano kunichafua kumbe anakimbia madeni afanye mara 70 yake!

Na bado atatukuta na bae wangu tumetulia kinyaaaaaaaaa!

Eti mtu miaka mitano saiz akaanze nyokonyoko! Mfyuuuuuuuu kwendraaaaaaaaa mbaff
 
Crystal Gayle - I'll Get Over You.

One thing about this heart of mine,
all my hurt's gonna mend in time,
It don't leave no scars behind,
I'll get over you.

I'll find me a lady one day,
who's not scared to give her heart away,
when I do it's safe to say - that I'll Get over you!

I'll get over you,
I'll get through and when I do,
I'll be good as new,
When I get over you!!!!!!!

From now on I think I'll lay low...

Mentor @20**
 
Du huyu nae,alikutapeli mapenz na pesa kwamkupuo...pole sana
 
Sijawahi achwa, nilio waacha sijui wananiombea nini ila mi namuomba Mungu maana ni yeye pekee anaweza ruhusu jambo fulani likupate
Tusihukumiane au kuumizana kisa mapenzi ukiachwa tulia
Angalia ulipokosea na ujifunze ili maisha yaendelee

Watu tuna machungu utafanya tukutukane bure...

Sio kila alieachwa ana makosa!!!! Conte wewe....
 
Back
Top Bottom