Bado unampenda? Akikupa tena nafasi uko tayari? Nimeuliza maswali mawili please!!Namtakia heri na baraka katika maisha yake
vyema mkuuNilimpenda ila sikua chaguo lake.....nimtakie kila la heri katika maisha yake mapya ya mapenzi
Niambie sababu yakuniuliza hayo mswali na nipe sababu kwanini nikujibuBado unampenda? Akikupa tena nafasi uko tayari? Nimeuliza maswali mawili please!!
duuh ,funga na kuomba mkuualaaniwe na uzao wake wote
Acha kifo kiwafumanie
washuke chini Kuzimu wangali hai;
ee Mungu, utawaporomosha shimoni chini kabisa,
hao hawatafikia nusu ya maisha yao.
vpNakumbuka alivokua akini treat vizuri.... So still remembering yeyeee
Zitafika tuTo hell
Hahahaha miss wangu wanasemaga dua ya kuku haimpati mwewealaaniwe na uzao wake wote
Acha kifo kiwafumanie
washuke chini Kuzimu wangali hai;
ee Mungu, utawaporomosha shimoni chini kabisa,
hao hawatafikia nusu ya maisha yao.
HYO NI MISEMO TU ITAWAPATA TUHahahaha miss wangu wanasemaga dua ya kuku haimpati mwewe
baraka zako zitamfikia mkuu.Namtakia heri na baraka katika maisha yake
namuombea hayo yatimieduuh ,funga na kuomba mkuu
Eeeh mahawara hawaachaniwamekusikia ,afu yule m1 c bdo akikumbuka asali anarudi kwenye kulamba ata kama masega matupu
alikufanyaga nini mkuu .?namuombea hayo yatimie
asante....Eeeh mahawara hawaachani
Nataka kujua unamkumbuka katika upande upi hasa na kama kuna majuto yoyote kutoka kwakoNiambie sababu yakuniuliza hayo mswali na nipe sababu kwanini nikujibu
Amekusikia kama kweli ni 1 soulmy soul & your soul have been connected with golden chain ,so we are the One soul.I LOVE YOU