moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #561
KWAHIYO UNGEMUUMIZA WEWE BADO MSINGEACHANA...?Thnks for hurting me cos nimepata someone better if u didn't hurt me tusingeachana
KWAHIYO UNGEMUUMIZA WEWE BADO MSINGEACHANA...?Thnks for hurting me cos nimepata someone better if u didn't hurt me tusingeachana
Sijui angechukua maamuz gan lakin nashkuru tuliachanaKWAHIYO UNGEMUUMIZA WEWE BADO MSINGEACHANA...?
Zake au zao? 😀Maza faka zako
SBB MUDA HAURUDI NYUMANever be the same again
atakua amekupataAkatendwe
weka neno lolote kwa X wako.
''Uishi kwa amani x wangu''
Sent from SIEMENS mkonge.
atakupata ata kwa ndotoNimekusamehe kwa kunipotezea muda wangu nakutakia kila la kheri na huyo uliyenaye sina kinyongo na wew tena , na ninaendelea vizur na maisha yangu
kwahyo ndo ujumbe wa X wako huo...?Watu wanatembea na maumivu makali mioyoni mwao. Ni kama samaki vile ana mengi ya kusema tatzo maji.
X wako nae kakupostia ujumbe kule mwanzoniAkili za kushikiwa,kubwa jinga wewe