soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,346
- 2,160
Hapana. Ila hali ndivo ilivyo..kwahyo ndo ujumbe wa X wako huo...?
Hongera kwa kuanzisha Uzi, angalau tumepata kwa kutolea madukuduku yetu
Hapana. Ila hali ndivo ilivyo..kwahyo ndo ujumbe wa X wako huo...?
Asante,nimekupata mkuuHapana. Ila hali ndivo ilivyo..
Hongera kwa kuanzisha Uzi, angalau tumepata kwa kutolea madukuduku yetu
Sio MANENO hayo... UshawachokaNdio, wakafie baharini
duuhhSio MANENO hayo... Ushawachoka
UKINIKUMBUKA UJE TUKUMBUSHIE ENZI ZETU
Hahaha umeandika neno zaidi mojaNimekusamehe kwa kunipotezea muda wangu nakutakia kila la kheri na huyo uliyenaye sina kinyongo na wew tena , na ninaendelea vizur na maisha yangu
Aisee umanigusa maana kuanzia tar 21 mwezi huu anaolewa!!!!Sina mengi ya kuwaambia, ila nawatakia maisha yenye furaha tele...
atakua amekupataMlee mtoto wangu akue ucm-mbemende
SafiiiThnks for hurting me cos nimepata someone better if u didn't hurt me tusingeachana
hahah namtizama kwa timing![]()
![]()
![]()
hilo poz limenimaliza kabisa
wewe ukiwa wapi mtoto ulelewe?Mlee mtoto wangu akue ucm-mbemende
vizur mkuuKwenye uhusiano unategemea vitu viwili funzo Au Baraka. Asante kwa kuwa funzo ntakuwa mke mwema kwa mume wangu
M........ndu wako my x,unajidai sana we we!!weka neno lolote kwa X wako.
''Uishi kwa amani x wangu''
Sent from SIEMENS mkonge.
Jana nilikutana na cha kalewanaofaham wametambua hilo