Muda haurudi nyumaA wish ningekuwa na time machine nirudi siku za nyuma kabla hatujakutana na kufanya maamuzi ya kutikuwa na wewe
ishi tu huyo achana naeI live my life......apite [emoji117]
Saafii kwa Kukumbuka Huduma nzuri ya Mwenzi wako,maana relationship sio UgomviNakumbuka alivokua akini treat vizuri.... So still remembering yeyeee
ukiwadungua utapata murder case mkuu
sent from SIEMENS mkonge.
ameipata hiyo"Hutapata kama mimi milele amina"
Hahahahaha acha roho mbaya weye,wajanja wamekuzidi kete huhuhuhuhuKafieni mbele....
mwambie kabsa utak ulelewe mtoto wako na baba mwingneTulia na mmeo, acha kunitafuta tafuta
Nitamwambia mkuu, nagombana na wife kwa vituko vyake japo kaolewa na ana watoto wawili kwa sasa,mwambie kabsa utak ulelewe mtoto wako na baba mwingne
Kwani hujawahi kupasha kipolo wakati yuko kwenye ndoa..?Nitamwambia mkuu, nagombana na wife kwa vituko vyake japo kaolewa na ana watoto wawili kwa sasa,
Sijawai mkuu, na sitofanya hivo ...nafanya hivo kwa heshima ya mme wake, mwanaume mwenzangu japo simjui.Kwani hujawahi kupasha kipolo wakati yuko kwenye ndoa..?
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!alaaniwe na uzao wake wote
Acha kifo kiwafumanie
washuke chini Kuzimu wangali hai;
ee Mungu, utawaporomosha shimoni chini kabisa,
hao hawatafikia nusu ya maisha yao.
??????????????????????Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
AahahhaaaahahhhaahhaKafieni mbele....